Bad mood

kuna mtu juzi tu kaniambia kwao mtu akisema ana bad mood
basi huwa wanamuona ana roho mbaya
bad mood= roho mbaya.....lol
 
Bad mood imefanyaje sasa? Ikiwa peke yake haina madhara labda imuingie mtu, na ushauri wangu ikemee na uifukuzie mbali, it shouldn't be anybody's potion!
 
Wewe huyo mume atakuzeesha huku bado mdogo
mtafutie kidumu yaishe lol

Tuko beach tunasikiliza reggae kwa radio ya gari nasikia kadedicate lovely song kwa mwanamke mmoja nauliza eti ananiambia huyo ni mwarabu alikua anapenda taarab ye ndo amemfanya apende raggae eti wako group moja BBM wakati mi ndo nimepigika when he lost his name kama verse 1 ya wimbo inavyosema lakini cjawahi kupata dedication nasikia wivu mbaya
 
Bad Mood? Sasa si ufunguke aisee Eversmilin Gal ili tujue nini tatizo, haoni kuwa unatupa kazi ya ku-guess matatizo yanayoweza kuwa yamekukuta na hivyo kukwamisha zoezi zima la kujadili thread yako?
 
Last edited by a moderator:
Tuko beach tunasikiliza reggae kwa radio ya gari nasikia kadedicate lovely song kwa mwanamke mmoja nauliza eti ananiambia huyo ni mwarabu alikua anapenda taarab ye ndo amemfanya apende raggae eti wako group moja BBM wakati mi ndo nimepigika when he lost his name kama verse 1 ya wimbo inavyosema lakini cjawahi kupata dedication nasikia wivu mbaya

sasa na wewe dedicate wimbo kwa mwanaume
mwambie uko nae facebook
wimbo uitwe 'i cant get enough of you' lol
dedication kwa boss wa jf lol
 
Gal, Relax!! Everything gonna be alright, just give it time and time will tell, but it depend if you "time THE time before THE time times you".
 
Mbona nshajielezea jamani

Ok kumbe ni haya hapa ndo yamekukuta ...
Tuko beach tunasikiliza reggae kwa radio ya gari nasikia kadedicate lovely song kwa mwanamke mmoja nauliza eti ananiambia huyo ni mwarabu alikua anapenda taarab ye ndo amemfanya apende raggae eti wako group moja BBM wakati mi ndo nimepigika when he lost his name kama verse 1 ya wimbo inavyosema lakini cjawahi kupata dedication nasikia wivu mbaya

Ahaaaa, inawezekana alikuwa anataka kukutania tu aone jinsi ulivyo na wivu na jinsi ambavyo ungereact! Naamini hili limetokea mara hiyo moja tu, na kama ni hivyo we kaa kimya na kumonitor tena mazungumzo yake auone kama atarudia kumtaja huyo mwarabu, loh!
 
Back
Top Bottom