Bad Luck?

na philosophy yangu mkuu inasema...''a women desire ruled by man action"so kamaa we ni wakuwazarau na kupenda masihara hata kwenye mambo ya serious juaa watakuchukuliaa mzaa na mazarau,mwanamke kumpigaa mwanaume inaaza hivi...anakucharukiaa anakujiaa juu we kimyaaa,siku ya pili anakushikaa shatii ana kukunjaa we kimyaaa,anaonaa ahaa...mara ya tatu anakupigaa kibao we kimyaa tu....inakujaa hatua mbaya kabisa anakupiga kidole cha makalio mbelee ya marafiki zako,kudadekiiiii....
 
bravo!!!
 
...mwanamke apigwi mkuu...na akipigwa kwa upande wa khanga...au unataka kuwa kama....jamaa zetu wa tarime..?
 
definetly ...nimekuelewa kaka sitapiga

Mtakatifu IVUGA mtu yeyote ukimuheshimu atakuheshimu lakini ukitia dharau tegemea worse ukali si kitu.jambo la muhimu waoneshe jinsi unavyowathamini na kuwapenda inawezekana hauko nao serious hauwapendi halafu kama zaidi ya mmoja kakuonesha hivyo turn back utakuwa wewe ndo chanzo. halafu kama ni mtu wa kujishaua heshima itashuka tu
 
mwanamke hapigwi,hebu jaribisha uone timbwilitimbili lake ooooohhh!jipange upya vinginevyo utamfuata .................
 
Back
Top Bottom