Bad Debts 'Strangle' NBC Bank

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
THE National Bank of Commerce (NBC) made a loss of 20.3bn/- for the quarter ended June 2012, blaming the results on bad debts.

The bank announced in a statement, that showed NBC during a similar period last year, made a pre-tax profit of 3.51bn/-. Analysts have expressed concern over the rise of bad and doubtful debts in the institution, which was privatised in 2000.

They said that the amount set aside as provisioning for bad and doubtful debts or non-performing loans (NPL) at 11.1 per cent, which translates into over 71bn/-. The Zan Securities Chief Executive Officer, Mr Raphael Masumbuko, told the 'Daily News' that the bank's results also show assets and customer deposits to have dropped.

He, however, said posting loss in one quarter does not mean the bank will lose in full year results. NBC generated interest income of 24.82bn/-, down from 27.02bn/- during the preceding quarter, while non-interest income dived to 12.99bn/- from 13.7bn/-. On Wednesday some Members of Parliament (MPs) raised concern over NBC's performance. However, the Minister for Finance and Economic Affairs, Dr William Mgimwa defended the bank saying it was still sound despite the request by the central bank for additional capitalisation.

"The bank is liquid and sound, though Bank of Tanzania (BoT) asked them to raise an additional fund to support its capital in case of abnormality," Dr Mgimwa told the house. NBC balance with BoT dropped to 178.77bn/- from 192.88bn/-, during the quarter ended in June.

Last month, NBC, which is a unit of ABSA Group of South Africa, suspended the Managing Director, Mr Lawrence Mafuru, pending investigation following allegations of irregularities. Late last month, in South Africa, ABSA Group controlled by Barclays Plc sent its Head of Collection on leave, pending a probe into circumstances that have led it to raise provisions for bad debts.

The South African bank posted a 39 per cent increase in bad debts in the first half of this year and increased the amount it sets aside to cover souring mortgages to 52 billion rand (6.4 billion US dollars or 10.24tr/-).
 
benki wamepewa waswahili imekua balaa. wakija wakenya... tunalalama
Mkuu watanzania wapo wengi tu wenye uwezo ila kutokana na Nepotism ni vigumu sana kwa mtanzania mwenye uwezo kuweza kupata cheo kama hauna network wa maana.Kigezo cha kupata cheo hapa tz sio on merit principle bali ni jinsi gani una mtandao wa watu wenye maamuzi na si vinginevyo
 
Hapo ndo tutaanza sikia bail out ,pesa za wananchi no zitatumika toka BOT kuinusuru af ukijaribu fatilia zitakavyotumika mtaniambia kama mnaweza refer goldman sachs pesa ya bail out walimnunulia CEO ndege mpya ya jifahari,xo now msijaribu amini serikali katika maisha yako,jifunze mdogomdogo namna ya kutengeneza pesa tofauti na za mshahara kama unaangalia mbele
 
Halafu kuna ishu moja mjifunze,lugha ya mabank wanaposema bad dept,bad bet ndo utajua mchezo unaofanyika nyuma ya pazia
 
benki wamepewa waswahili imekua balaa. wakija wakenya... tunalalama

ni lini umeanza kufuatilia mwenendo wa bank hii? mgawanyo wa share upo vipi? unafahamu management yake ipo vipi? acha kasumba
 
Mkuu watanzania wapo wengi tu wenye uwezo ila kutokana na Nepotism ni vigumu sana kwa mtanzania mwenye uwezo kuweza kupata cheo kama hauna network wa maana.Kigezo cha kupata cheo hapa tz sio on merit principle bali ni jinsi gani una mtandao wa watu wenye maamuzi na si vinginevyo
thanks, ila umesahau kitu kimoja ceo wa hii benki aliitwa jembe, mashine, supa, mwekezaji, jiwe la mwashi nk. my point ni kwamba tumetekenywa tunatekenyeka, hivi issues ni baada ya mafuru?? au "SYSTEM" imemmaliza mafuru na ile mikopo ya "national interest" while si kwelie ni national interest bali ni matumbo interest??

why now tuna mswahili?? je wakiwa wao, si ile kasma huwa haihojiwi?? inakuaje ikiwa yetu ndio tuhoji??

labda nimalizie kidogo kumpoza ndugu yangu narubongo asiyeelewa kwamba mengine yako juu yake.... some probes hazitokei iwapo CEO ni mzungu kwani ana sanction ya certain package, ila mbongo hiyo nehi che

HIVI MAHARAGE CHANDE KAPONA?? maana si bora kupoteza ile hazina yenye nasaba za akina CHANDE na RO
 
benki wamepewa waswahili imekua balaa. wakija wakenya... tunalalama
Kwa nini siku zote mnafikiri suluhisho la matatizo yetu litatoka nje ya mipaka yetu? NBC kama wameshindwa haimanishi watz hawawezi, mbona NMB au CRDB ni success story inaongozwa na wageni? Grow up man usisukume tatizo jaribu kutatua!
Hao wakenya unaowasifu mbona nchi yao inawashinda kuindesha? ina highest ineqaulity hapa Afrika sasa huo ufanisi wao uko wapi? Mbona mpaka leo wanaishi kwa chakula cha msaada hasa kutoka kwetu, au ufanisi wao ni wakuendesha mabenki tu? Acha kulaumu watu wengine kwa failure yako kama wewe umeshindwa kimaisha sio kosa la Watanzania ni matatizo yako acha kusukumia na kulaani Watanzania wote!
 
But that dude is good upstairs....tuliosoma naye tunajua hilo. Labda akengeuke ukubwani sababu ya urafiki na mtoto wa bosi anayeamini anajua kila kitu Tanzania hii.
 
Hapo ndo tutaanza sikia bail out ,pesa za wananchi no zitatumika toka BOT kuinusuru af ukijaribu fatilia zitakavyotumika mtaniambia kama mnaweza refer goldman sachs pesa ya bail out walimnunulia CEO ndege mpya ya jifahari,xo now msijaribu amini serikali katika maisha yako,jifunze mdogomdogo namna ya kutengeneza pesa tofauti na za mshahara kama unaangalia mbele

Hiyo sio pesa ya wananchi. Ni pesa ya NBC ambayo wameweka kule BOT wameomba wachukue kiasi waongeze kwenye mtaji.
 
Kwa nini siku zote mnafikiri suluhisho la matatizo yetu litatoka nje ya mipaka yetu? NBC kama wameshindwa haimanishi watz hawawezi, mbona NMB au CRDB ni success story inaongozwa na wageni? Grow up man usisukume tatizo jaribu kutatua!
Hao wakenya unaowasifu mbona nchi yao inawashinda kuindesha? ina highest ineqaulity hapa Afrika sasa huo ufanisi wao uko wapi? Mbona mpaka leo wanaishi kwa chakula cha msaada hasa kutoka kwetu, au ufanisi wao ni wakuendesha mabenki tu? Acha kulaumu watu wengine kwa failure yako kama wewe umeshindwa kimaisha sio kosa la Watanzania ni matatizo yako acha kusukumia na kulaani Watanzania wote!

Leo ukiulizwa Kenya na Tanzania ni nchi gani inafanya vizuri katika indicators za uchumi, elimu, kilimo na huduma za jamii utasema ipi??

hiyo ya kusukumia na kulaani watanzania wote sijui umeitowa wapi maana nimeuliza swali, na swali linatokana na hali iliyojitokeza, kabla ya kukurupuka ulitakiwa ujiulize why ???

unaleta siasa kwenye facts na hujui siasa

MBAFU we, tena usome post yangu namba 11 uelewe nilikua na-probe nini

JIna lako na akili yako vinafanana
 
JIna lako na akili yako vinafanana[/QUOTE

Leo nchi gani inayofanya vizuri ktk uchumi ni Tanzania, na ndio yenye uchumi unaokuwa kwa haraka kuliko nchi nyingi za Afrika ikiwemo Kenya, na ndio maana miaka 10 iliyopita Uchumi wa Kenya ulikuwa mara mbili ya Uchumi wa Tz leo hii tofauti ni ndogo sana, per capital income ya Kenya ilikuwa karibu x2 leo hii tofauti ni $300 tu na inazifdi kupungua siku hadi siku hivyo jibu la swali lako Tanzania inafanye vizuri kuliko kenya ambayo inarudi au imesimama!

100% True
 
Back
Top Bottom