Back with a kiss

Du! Husninyo sijui hata ungeliaje maana maneno matamu tunayopeana jamvini yangebaki stori mi nimekumiss mara mbili, ukijumlisha na ukame wa faraja zako nimekwisha kabisa nipe ripot mpenzi.
 
Back
Top Bottom