back in the dayz:voyage mboso(kigali)-wenge musika BCBG 4X4

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,102
15,993

sijui enzi hizo mlikua wapi wakuu,mi nilikua magomeni mtaa wa usoke,visa vya kufumaniani ilikua kila siku,na jioni tulikua tunajivuta pale golan peak night park ilikua next kwa macheni.yaani acha tu.:crying:
 
Last edited by a moderator:
Mimi hapo umenikumbusha mbali sana. Nadhani ni zaidi ya miaka 17 nyuma. Nakumbuka kwa mara ya kwanza kusikia kibao hicho kilichokuwa katika album ya Kala-yi-boeing ni mwaka 1992 na vibao hivyovilikuja kuvuma sana mwaka 1993 na kuendeleaa ambapo mpaka leo nikisikia kwenye redo ni kama vitu vimetoika studio.
Mtunzi wake ni Adolph Dominguez, nakumbuka watuma salamu mbalimbali wa kipindi hicho kwenye redio fulani kama Mtu shapu Spencer Love Kalamkumnsa, sijui yuko wapi huyu.
Kwa mtu wa karibu anajua nazngumzia redio gani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom