back from uk.

Jaribu na kuleta manukato ya kike na kiume hii nayo ni nzuri sana maana vingi bongo ni feki

Kweli vingi feki na ndicho kinachonitatiza coz wabongo wengi wanapenda sana vi2 feki.ukimletea may b pafume original y elf15 na feki y elf5 atachukua y elf5 ......ukizingatia mi ntakua nauza mkonon cyo dukani.
 
Kwa mimi nadhani spare ndogo ndogo za magari yanayoeleweka ka benz ukichunguza ni vitu gani vinasumbua kwa wengi anaweza akamake, kama sensors etc
 
Back
Top Bottom