ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,242
- 1,736
asalam alekum wana javi nawasalimu. naombeni msaada wenu wa mawazo mi nina kaka yangu huwa anasafiri mara kw mara kwenda UK(wingezera) kioffice sasa ameniuliza ni v2 gani vidogo vidogo vinavyobebeka anaweza kuja navyo nikaviuza. nimejaribu kuangalia vi2 km simu lkn nimeona kutokana na hizi sim za wachina hakuna atakaye kubali kw bei hiyo mkononi.unakuta sim kule UK inauzwa 150,000 na huku dukan inauzwa 180,000. simu hii ukiiuza mkonon kw 165,000 hakuna atakaye chukua .....wanajamv naomba mnipe mawazo yenu ni vi2 gani naweza nikaleta vikatoka mkononi kw urahis mana vitu kule UK vina unafuu w bei ukilinganisha na huku TZ au kama kuna m2 atakua anahitaji kuoda some thing aniPM. Mie naishi dar Atsanteni.