Back by popular demand..

Safi sana mkulu, walau umesikiliza mawazo ya wengi....sauti ya Mungu hii
 
Kila la heri mkuu mwanakijiji. Isiwe chakula cha mwili tu. Those kind of women are who we desire most, who know how to handle well their spouses
 
Ooh,safi sana mkuu! Shukrani za dhati zimfikie bi mkubwa,kumbe wakitubania tunalainika kiasi cha kulegeza misimamo yetu. Safi mkuu kurudisha avatar tuliyoizoea na ni alama inayokutambulisha kwa kiasi kikubwa.
 
saasa.. kwanini hawa mashemeji zetu hawatumii mbinu hii huko Bungeni au kwa mafisadi? grrrrrrrrrrr!
 
saasa.. kwanini hawa mashemeji zetu hawatumii mbinu hii huko Bungeni au kwa mafisadi? grrrrrrrrrrr!

Mungu aepushe wasije wakaitumia yakawa ya ruksa. Kuna kitu hujagundua mkuu. Shem wetu bila shaka anatembelea humu jamvini na kuona harakati zako. Kasi yake ya kukubalasa huoni imechangiwa na maoni ya wadau kuhusu avatar yako? Muulize atakuambia ukweli huo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom