Bachelor of social science in statistic.

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
wakuu hii inapatikana UDSM but vipi inalipa kweli na inahusu nini hasa? Ni hayo tu wakuu.Shukrani..
 
wakuu hii inapatikana UDSM but vipi inalipa kweli na inahusu nini hasa? Ni hayo tu wakuu.Shukrani..
Huwezi kuwa serious kabisa eti hujui inahusu nini!!! Hapo uwe umepiga Advanced Mathematics,kwa BAM na Basic Maths hutokiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
 
Hiyo inahusu takwimu maana inabidi tukupe tafsiri labda unaweza ukatuelewa,wanashirikiana na watu wa uchumi katika tafiti mbalimbali,ila mambo yakibuma wanakuwa walimu wa sekondari na baadhi ya vyuo(inategemea na uwezo wa muhitimu).
 
Back
Top Bottom