BACHELOR OF SCIENCE IN STATISTICS .......Mtu anaemaliza hapa anaenda fanya kazi sehemu zipi???

sasa mambo yako hivi....nadhan ushaskia mambo ya national bureau of statistics(nbs) sasa hawa watu wanapiga mzigo huko...sio huko tu hata kwenye mashirika mbali mbali ya ukusanyaj data...kiasi chake sio mbaya inalipa na future yake sio mbaya hasa kwa kipindi hiki na kijacho...all the best!!!
 
Utaenda kuhesabu samaki,dagaa,mbwa,kuku,mbu,vyura,bodaboda bila kusahau nazi.Magufuli atakuwa mwanafunzi wako
 
sante sana LORDVILLE .....maaana watu tushakuwa na pressure yan
ok bro your welcome...naiman kama sio mzumbe basi ni udom utaenda piga hiyo mambo..ila msuli ni cha mwimu na usilogwe ukate tamaa....hasa kwa maneno ya wadau humu jamvin...na fanya research zaid mkaka!!!!!
 
Muulize snochet akuelekeze
maana rahisi ya statistics ni collection, organization, analysis, interpretation, and presentation ya data.sanasana statisticians wanahusika na experiments na surveys,anything dealing with quantity inaweza kufanywa na statistician ammbayo baaadae ndiyo inaleta majibu ya quality.kwa kweli statistics iko very very wide,na inaenda pamoja na utafiti.Nakuhakikishia kwamba ni kazi nzuri na inalipa,na kazi zake zinapatikana kwa wingi kwani Tanzania ina deficit ya statisticians........hakikisha kabla hujaamua,,uwe unazijua hesabu vizuri.........kwa maelezo zaidi tembelea National Bureau of Statistics Tanzania - NBS upate uelewa kuhusu kazi wanatakwimu wa tanzania wanazofanya......
 
thanxx much 4 explanations pal
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom