Bachelor of science in physics

farmersdesk

Senior Member
May 26, 2012
164
120
wakuu nisaidieni mtu akisoma hiyo faculty.anakuanani????any body anaefaham anisaidie plzzz!!!
 
mkuu sidhan sana kama unaweza kusoma facult nahis utasoma course au program!!
anyway kwa ujuzi wangu mdogo,kusoma physics au maths au bios chuo sio lazima uwe ticha...
kwa phyics naiman unaweza piga parts za engineering(mfano electrical) computer and above all unaweza jiunga na research institutions hasa za vyuo ukawa unapiga mzigo...
ila kama kwel unamoyo wa kufundisha naiman itakua njema sana hasa ukipiga mpaka master au PhD ukawa proff au lectur! kuna shortage kubwa sana ya teachers kwenye hiyo(hizo) field(s) najua itakua inapay much..
NARUDIA TENA KUSOMA BSCI IN PHYSICS AU MATHS AU CHEM SI LAZIMA UWE TICHA ILA UNAWEZA KAMA UKIPENDA(UKIRIDHIA TOKA MOYONI)!!!
mwenye mawazo zaid anakaribishwa.. nawasilisha!!
 
mwenye mawazo zaid anakaribishwa.. nawasilisha!![/QUOTE. umenipa moyo kidogo mkuu
 
mkuu sidhan sana kama unaweza kusoma facult nahis utasoma course au program!!
anyway kwa ujuzi wangu mdogo,kusoma physics au maths au bios chuo sio lazima uwe ticha...
kwa phyics naiman unaweza piga parts za engineering(mfano electrical) computer and above all unaweza jiunga na research institutions hasa za vyuo ukawa unapiga mzigo...
ila kama kwel unamoyo wa kufundisha naiman itakua njema sana hasa ukipiga mpaka master au PhD ukawa proff au lectur! kuna shortage kubwa sana ya teachers kwenye hiyo(hizo) field(s) najua itakua inapay much..
NARUDIA TENA KUSOMA BSCI IN PHYSICS AU MATHS AU CHEM SI LAZIMA UWE TICHA ILA UNAWEZA KAMA UKIPENDA(UKIRIDHIA TOKA MOYONI)!!!
mwenye mawazo zaid anakaribishwa.. nawasilisha!!
umenipa moyo mkuu
 
Back
Top Bottom