Bachelor of science in irrigation and water resources

Ja60

JF-Expert Member
Aug 5, 2012
276
177
Jaman naomben ushaur kuhusu híi kozi ina future nzuri au vip.?
 
kwenye kilimo cha umwagiliaji itafaa sana na sera ya kilimo kwanza kwa taifa letu hope itakuwa na future nzuri
 
Owkey.! Na vp kuhusu usomaj wake kwa anaejua.?
 
sasa naona mambo yako hivi..hawa jamaa wanaosema haina ishu wote wameshindwa kutetea hoja zao..kabla hatujaenda mbali embu tucheki haya...
-ni kwanini serikal wameeka priorit kwenye hii program katika maswala ya loan?? ingekua haina uhitaj naiman wasingeweka 100% ya loan!
-ni vyuo vingapi hapa tz wanatoa hii program?
sasa kwa uelewa wangu hawa watu sio kwamba hawana market..la hasha! market ipo na ndo maana hata nchi imeamua kuutoa 100% ya loan kwa hawa watu!! na ifaamike kwamba mtu kusoma hii program sio lazima upige kilimo kuna ishu nying mbali na kilimo mtu huyu anaweza fanya!! nashauri tukiwa tunachangia haya mambo ushabiki wa vyuo ukae mbali na tuangalie kutoa mawazo yaweze msaidia mtoa mada na wengineo!!! mwenye mawazo zaid anakaribishwa...nawasilisha wakuu!!!
 
Jaman naomben ushaur kuhusu híi kozi ina future nzuri au vip.?


Vijana acheni uoga hebu kasomeni,hakuna kozi ambayo haina future unless kama kwenu fufture mnamaanisha kitu tofauti na mimi ninavyodhani!(Having a bachelor degree itself is an important step to your uture)!
Turudi kwenye hoja,hakuna atakayeweza kukupa jibu la moja kwa moja maana hiyo kozi kama unaongelea ya SUA ni mpya na bado hakuna batch iliyomaliza.Nafikiri batch ya kwanza watakuwa ni mwaka wa 3 sasa. By the way nadhani kwenye wizara ya maji na umwagiliaji,kitengo cha umwagiliaji ni nyie pekee ndiyo mnaotakiwa.
 
Duh,hili ndilo tatizo la JF KILA MTU ANAJIFANYA MUCH KNW, SASA SIKIA KWAENYE HIYO KOZI KUNA BRANCH 2,YAANI IRRIGATION NA WATER RESOURCES, KWA MFANO HIYO BRANCH YA 2 YA WR IKO POUWA NA NI MARKETABLE SANA,HAPO WEWE UNAKULA SHAVU KWENYE INSHU YOYOTE IMAYODEAL NA SEWARAGE AND SANITATION, KWENYE ENVIRONMENTAL ISSUES LAZIMA UWEPO NA HIZI NDIZO ZINA FOREIGN AID KIBAO,YAANI INSHU ZOTE ZINAZOHUSIANA NA MAJI,LIKE DAMS AND RESORVORS MNA MCHANGO MKUBWA SANA,HEMBU ANGALIA WATER SYSTEMS HUMO MIJIN ZILIVYOHARIBIKA? NYIE MAINJINIA WA MAJI MNAHITAJIKA SANA...HIYO SIRIKALI ILIVYOWEKA 100PERCENT HAWAKUWA WEHU,HEMBU KIJANA KOMAA FANYA HIYO FIELD,HAUTAJUTA KAMWE...
 
Back
Top Bottom