Bachelor of freight clearing and forwarding

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wadau katika pita pita zangu nkakutana na ndugu yangu akanambia amedahiliwa kusoma hyo shahada hapo juu katka chuo cha NIT.naulza,hvi hyo fani nayo ina maslahi mazuri kweli hapa bongo?
 
Mimi ni mhitimu wa kozi hiyo hapo maslahi ni makubwa. Sekta ya upelekaji na usimamizi wa shehena imepanuka( freight Clearing & Forwarding/ Shipping Logistics).Vihiyo wote serikali ina mpango kuwaondoa kwenye game.
 
du hata kutoa mizigo bandalini kunahitaji degree sijawahi sikia degree ya namna hiyo ulimwenguni kote juzi kuna mtu aliniambia kuna chuo kinatoa degree of hotel management du kweli sasa hivi vio inabidi tuvipige tochi hatari sasa.
 
Hiyo elimu ni kubwa sana na matumizi siyo kwenye "operations side" bali ni upande wa "decision making". Kwa hiyo mshauri huyo jamaa aendelee kufanya mazoezi kwa vitendo na siku moja atapata matumilizi halisi, asikate tamaa.
 
Back
Top Bottom