bachelor of economics in project planning vs bachelor of science in agricultural economics

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,044
1,999
samahani wakubwa,naomba kufahamishwa kati ya hizo kozi mbili zinazotolewa katika vyuo vya mzumbe na SUA ni ipi nzuri ambayo naweza hata kujiajiri pindi nitakapomaliza masomo yangu?pia ile BA-economics ya udsm ni nzuri?asanten
 
Piga agro-economics ya sua dogo coz ni multpurpose yan unapga agriculture,busness na economics kwa wkt mmoja,hzo zingne co kivile,kutoka kwake ni hadi uwe na masters.
 
jamani,vipi kuhusu bachelor of arts in economics ya udsm?
 
Kwanza,nakupongeza kwa kuwa na mawazo ya kujiajiri,pili,kwa ushauri wangu jaribu kusoma kitu ukipendacho!Katika elimu hakuna kitu kizuri kama unasoma kitu kilicho moyoni!Pesa na mafanikio ni matokeo ya juhudi katika kazi yako!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom