''Baby nakupenda,take care''

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Dah!!jana usiku nilikua angle flani chafu chafu na kimeo kimoja hivi tunapunguziana stress za maisha,mara cmu ya mchuchu wangu wa ukweli ikaingia,nikasogea pemben nikapokea fresh,tukaongea mengi,mwisho wa maongez my honey akaniambia hayo maneno hapo juu.dah!kikweli nilijishtukia kinoma na nikamuonea huruma sana mtoto wa watu,ananipenda sana ila me cjui nina pepo gan aliyeniteka.asa najiulza,ivi nae yawezekana akawa ananicheat ndo maana kila nkiongea nae ananiambia hayo maneno ili kunizuga au yanatoka moyon kweli?naomba anae elewa chemistry ya hawa viumbe anisaidie kunidadavulia.
 
c nilikua nae mimi nikamwambia akwambie hivyo.... ila mipango yetu ya ndoa ikikamilika ntamwambia akuache
 
aisee hata mi nimemuonea huruma huyo mpenzi wako wa 'kweli', kama kweli hakucheat na amekupigia na uko na kiumbe kingine...hivi huna hata chembe ya huruma ndani yako??!!
 
aisee hata mi nimemuonea huruma huyo mpenzi wako wa 'kweli', kama kweli hakucheat na amekupigia na uko na kiumbe kingine...hivi huna hata chembe ya huruma ndani yako??!!
mtotowamjini vipi, hukionei huruma na hicho kimeo? Kwa sababu Mungu kamaliza kumuumba na kaona ni mzuri, Jamaa anasema kimeo....
 
Last edited by a moderator:
dogo wanawake wanao sema sema nakupenda sana kila wakati ni waongo tu.

Anaye kupenda hatumii mdomo, anakuonyesha action.
 
dogo wanawake wanao sema sema nakupenda sana kila wakati ni waongo tu.

Anaye kupenda hatumii mdomo, anakuonyesha action.

ndo na mie machale yananicheza hapo mkuu.
 
Back
Top Bottom