Baby Madaha kadhalilishwa

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
2qw0u49.jpg


Baby madaha aende mahakamani.....wanawake wanapaswa wapewe heshima mbele ya jamii hawa ni mama zetu hawapashwi kudhalilishwa namna hii......huyu ni mama anapaswa kuheshimika kwa kweli.....
amedhalilishwa sana
 
Amedhalilishwa vipi, hizo nguo kwa staili ya kuacha matiti nje si kavaa mwenyewe, kwahiyo asingepigwa picha??!!

Hiyo ndio mivao ya siku hizi ya hawa akina dada, kuacha matiti nje, unakuta dm mwingine ana matiti kama ndala lakini na yeye anayaacha nje...!!!!
 
thread nyingine hazina kichwa wala miguuu....hvi mtu anaejieshimu anaweza kuvaa kwa namna anayoonekana hapo

? biashara matangazo
 
kadhalilishwa kivipi? Kavalishwa hiyo nguo na kupigwa picha by force?mwenzako yupo sokoni we unamtetea mh
 
naona umerudia kuvuta bangi, uliomba msamaha nikakusamehe, ukasema hutarudia kuvuta bangi, sasa naona umeanza!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom