Baby Madaha Afiwa na Mama Mzazi....

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
[h=3][/h]
baby+madaha.jpg


Msanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya bongo Baby Madaha, yupo katika huzuni kubwa baada ya kumpoteza mama yake mazazi jana usiku baada ya kuumwa kwa muda.



Mwili wa marehemu unasafirishwa leo kupelekwa Musoma nyumbani kwao ambapo mipango yote na taratibu za kuzika zitajulikana huko.

Mwandishi wa mtandao huu alizungumza na Madaha ingawa hakuweza kuzungumza sana zaidi ya kutokwa machozi huku akisema kuwa amempoteza mama yake kipenzi ambaye alikuwa akimsapoti kwenye vitu vingi ndani ya maisha yake.

“Naumia sana lakini najua yote ni mipango ya Mungu kwani kila kitu kimepangwa, hivyo tunamuombea mama yetu aweze kwenda salama mbele za haki kwani sote hiyo ndiyo njia yetu,”
 
Mwenyezi Mungu ampokee mbele ya uso wake mama madaha!pole baby madaha twafaham umepoteza nguzo muhimu ktk maisha,bt Mungu kamhitaji zaid kwa nia njema.
 
Sitaki kuamini hapo yupo msibani kwa mama yake na hiyo makeup! Pole zake kwa kufiwa.
 
Mh pole kwa kufiwa. Muonekano wako unaniacha hooooooooooi, huu urembo wa bandia tabu.
 
Back
Top Bottom