'Baby Every Time You Touch Me I Become a Hero'

SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
2,840
'Baby every time you touch me i become a hero...I'll make you safe no matter where you are'
'And bring you everything you ask for nothing is above me..I am shining like a candle in the dark when you tell me that you love me'

Japo ni swagger tu lakini ukijua namna ya kuyaweka kwenye vitendo hayo maneno inasaidia kurejuvenate ndoa/mahusiano yenu..japo najua wagumu mtasema hela ndio mpango mzima but kuna wakati flirting inasaidia kuboresha mahusiano..nimetumiwa na mpenzi wangu haya maneno na nimefarijika...Weekend njema wadau!!
 
Is it what you think dude?

'' I wanna hold you close under the rain, Iwanna kiss your smile and feel the pain
I know whats beautiful looking at you,
In a world of lies you are the truth...........................
love u much my ever SnowBall:A S-heart-2:
 
Duh!! . . . . . . . . . . !!
 
vichwa hivi vina mambo, imenichukua dakika 10, kujua neno la mwanzo ni Baby, nilikuwa nasoma 'baba' afu nashangaa unawezaje mwambia baba yako maneno hayo.
 
wewe Kongosho umepinda aiseee..kuna haja ya kukunyoosha!
yaani babaako umwambie hivi...lol
vichwa hivi vina mambo, imenichukua dakika 10, kujua neno la mwanzo ni Baby, nilikuwa nasoma 'baba' afu nashangaa unawezaje mwambia baba yako maneno hayo.
 
Last edited by a moderator:
Kijiji gani kwa dunia ya leo unaongelea?
Mbona mambo ya baby sio mjini wala kijijini
Kote kote tu hata watu wazima waitwa mababy..hujaona?

mie nimeshangaa mno
nikajiona wa kijijini kweli lol

kumbe 'baby'
 
huwa yanaleta mvuto kiana kwenye mapenzi then wasave hizo message na kuzisoma now and then, bt ikitokea akapiga mechi za ugenin then ukagundua hayo maumivu usipime
 
Back
Top Bottom