Baby boy born with qur an

Status
Not open for further replies.

Chum Chang

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
999
272
Mtoto azaliwa kashika Qur an mkononi.jpg MTOTO AZALIWA AKIWA NA QUR AN MKONONI


Allah akbar Allah akbar ilisikika mjini Lagos Nigeria mara baada ya kubaini kilichoshikiriwa mkononi ilikuwa Qur an tukufu kitabu kinachobainisha haki na batri kwa mujibu wa iman ya dini ya kiislam,Bibi na Mama mzazi wa mtoto huyo wote wamebadili dini na kuwa waislam mara baada ya maajabu hayo.
Mtoto amepewa jina Abdulwahab Olarewaju Babatunde
Amesikika akisema Alhaji Ahmaad Olarewaju, who quoted the Holy Qura'n (Q41;53), “Allah said: “Soon will show them our signs in farthest part of the earth and among their own people until it become manifest to them that it is truth. It is not enough that the Lord is witness over all things.” ,
Sos
mpituli.blogspot.com
 
jamani ncheleleeeeeeeeeeee mie, duh, quran, nguo na kibakuli cha sadaka vyote kazaliwa navyo.
 
mmmh. napenda niamini, sasa nitajuaje hakijapachikwa mkononi mwake?

mana kavishwa hadi nguo, hakikupokonyoka?
 
Aisee hiyo mimi napinga kabisa. Inamaana Tumbo la uzazi la mwanamke linaweza kuumba Quraan? Aisee haya ni maajabu ya mwaka.
 
Nilisikia kuhusu hii habari ila hamna kitu kama hicho huyo mtoto alipewa tu Quran ili wapate habari.. Nimependa wadau waliotangua walivyoulizwa kama na hizo nguo alizaliwa nazo au niaje....
 
Basi atakuwa kazaliwa na hizo nguo pia.

Nimeipenda hii! Ni ujinga wanataka kuleta hawa! Wangeonyesha akiwa ndo anatoka Kwenye uzazi amekishika.

Wanadhani watu wote ni wa wakati wa Muhammad.. Unadanganywa unameza.. Huna pesa za kujikidhi kimaisha unaambiwa Ongeza Mke
 
Utetezi mwingine wa dini unatia mashaka mno!! kuliko hata .........., sasa kama ni hivyo mbona ... alikuwa na ... duh.
Na kule .... ni...........?
Ah tusiseme mengi bwana tusije hukumiwa mwaka humu!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom