Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Babuuuuuuu!!!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by First Born, Jul 30, 2011.

1. First Born

First Born JF-Expert Member

#1
Jul 30, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,267
Likes Received: 33
Trophy Points: 145
Sio siri ni kama siamini the way umaarufu wa Babu yangu wa Samunge Loliondo unavopotea, nasema hivi kwani alishika chati ktk vyombo vya habari na kuaminika na wengi mimi nikiwa mmojawapo(ingawa sikubatika kwenda kukitandika kikombe)
Sio hapo tu, kwetu ilikuwa matatizo kwani hata suala la usafiri lilikuwa gumzo sana kiasi cha nauli kupanda kutokana na uhaba wa magari.
Nakumbuka hata viongozi wa nchi na dini walijazana loliondo, mataifa mbalimbali yalifika Samunge,
Mhhhhh!!!!!
Mbona ghafla najishitukia hasikiki?
Hivi waliokuwa wameenda wagonjawa walipona?    Wako baadhi ya watu waliosema yule hakuwa mkweli akiwapo mamaangu,
waliomkataa kabisa wakiwamo viongozi wa kanisa ninalosali!!!!!

Swali langu,
Hivi babu bado yupo au ameacha kazi?
Hivi kuna watu bado wanaenda kupata kikombe?

2. Katavi

Katavi Platinum Member

#2
Jul 30, 2011
Joined: Aug 31, 2009
Messages: 37,608
Likes Received: 2,800
Trophy Points: 280
Kweli kapotea ghafla......au wagonjwa wote wamepona na idadi inayokwenda samunge imepungua...

3. Babkey

Babkey JF-Expert Member

#3
Jul 30, 2011
Joined: Dec 10, 2010
Messages: 3,186
Likes Received: 522
Trophy Points: 280
........nothing last forever.

4. PakaJimmy

PakaJimmy JF-Expert Member

#4
Jul 30, 2011
Joined: Apr 29, 2009
Messages: 16,234
Likes Received: 103
Trophy Points: 160
Kuwa mfuatiliaji utajua habari za babu za kila siku!
Unaona ajabu gani habari za babu kutoandikwa magazetini?
Magazeti yenyewe haya ya kibongo, hata hayaendi kwenye grassroot kujua chanzo au mwisho wa habari!
Labda uniambie kwanza kama unaendelea bado kuona na kusikia habari za:
-Dowans(ambazo kabla ya Babu zilikuwa zikitamba mno!
-Habari ya siku 90 za Nape na wenzake
-Habari za EPA
-Habari za Jairo za juzi tu, tayari zimefifia..upo?

Sikuelewi kama ulitaka ishu ya babu iwe ya kudumu!, labda uulize unachotaka kufahamu tukusaidie!

5. First Born

First Born JF-Expert Member

#5
Jul 30, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,267
Likes Received: 33
Trophy Points: 145

issue sio kufifia kwa taarifa za babu, lakini babu aliwahi kusikika akisema dunia nzima itamjua na kwamba atasikika sana, sasa mbona hata mwaka hajamaliza kapotea?

6. LiverpoolFC

LiverpoolFC JF-Expert Member

#6
Jul 30, 2011
Joined: Apr 12, 2011
Messages: 10,956
Likes Received: 78
Trophy Points: 145

Ndg yangu! Kuwa mwelewa,vyombo vya hbr ya kwe2 ina maana haujui? Jairo jana juzi habari yake nzito iliyo2fanya tuwe gizani mpaka leo imepotea kabisa,sasa wewe unaongelea ya Babu anayesikika mpaka na huko kusini mwa Africa. Fuatilia vyanzo vya hbr.

7. Meritta

Meritta JF-Expert Member

#7
Jul 30, 2011
Joined: Apr 26, 2011
Messages: 1,304
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
hata maarufu wa dunia hii huwa wanashuka umaarufu wao sembuse babu, watu bado wanaenda kupata kikombe sema ushabiki ndo umepungua sana, waliopana pia wapo na iliyowagomea nao wapo

8. Gurta

Gurta JF-Expert Member

#8
Jul 30, 2011
Joined: Sep 17, 2010
Messages: 2,211
Likes Received: 26
Trophy Points: 145
Asante sana Paka, nilikuwa nasubiri ufanye hii kazi ya kuelimisha.

Yaani kwa sababu kitu fulani hujakisikia au kukiona ndio kusema hakipo?

9. First Born

First Born JF-Expert Member

#9
Jul 30, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,267
Likes Received: 33
Trophy Points: 145

we mtata, una maana gani?

10. First Born

First Born JF-Expert Member

#10
Jul 30, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,267
Likes Received: 33
Trophy Points: 145

mbona hatusikii ushuhuda?

11. Maayo

Maayo JF-Expert Member

#11
Jul 30, 2011
Joined: Jul 21, 2011
Messages: 319
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Me nadhani watu wameamua kuacha kwenda kutokana na kuwepo kwa minong'ono kwamba watu hawaponi. Hiyo inatosha kabisa kuuzima umaarufu wa babu yake 1st born.

Loading...