Babuuu huyoo Loliondo

Wajanja wanapopewa chai na kuambiwa ni dawa. Kweli watanzania tumeanza kufirisika kimawazo kila jambo TUTALIAMINI kwa kuwa hakuna pa kushika.

Yaani huyon jamaa mwenye kikombe chekundu ni kama anasema"" tayariiiii""" maaana unaweza kukuta kasubili kwa wiki saba.

Thidanganyikiiiiiiiiiiiiii na manabii wa uongo waliotabiliwa kwenye bibilia....

dah mkuu umeniacha hoi.... alafu jamaa anamuwekea babu kikombe kwa unyenye kevu wote..:panda:
 
Hapana: Inabidi serikali ifanye kauchunguzi kadogo.

Ichukue wagonjwa wa ukimwi hivi kutoka ma-hospitalini , wawapeleke kinyemela kwa babu wanywe hiyo dawa, na baada ya mda tena wawapime kuona matibabu ya babu kama ni ya kweli ama longolongo.
Wazo zuri lakini
suala la imani ni la mtu binafsi,ili upone kwa babu sharti uamini kwamba utapona,JE UNAUHAKIKA KWAMBA HAO AMBAO SERIKALI ITAWAPELEKA KWA BABU KINYEMELA WATAKUWA NA IMANI KWAMBA WATAPONA?Huu si mchezo wa kubahatisha.
 
Tatizo letu hata hatulijui. Wote tuko kama wagonjwa wa vichaa. Kila mtu anamwona mwenzake ndiye mgonjwa na kwamba yeye mwenyewe ni mzima. Ila tatizo langu ni moja tu...kwamba nchi yetu ina laaana gani kwamba hata kama sote tu vichaa asiwepo kichaa mwenye unafuu kidogo akatukomboa?
Hahahahhaha mbavu zangu weee. Ebana umenichekesha sanaaa. Yani hii hii kwangu ni statement ya mwaka! Hahhahaha.
 
Nilikuwa nasikiliza BBC kiswahili asubuhi ya Leo.. kuna mama mmoja alitoa comment ya ajabu eti
Yaani mimi kufika eneo hili tu sijapata tiba lakini tumbo halijaniuma siku tatu"
"... watu kama huyu mama ndio wanapotosha Umati mkubwa wa tanzania.. na kuzidi kuwashindilia fikra za kimaskini.. ! someties naona kama movie flani hivi "the gods must be crazy" babu katurudisha karne ya 19 ..
 
Mimi nahisi HUU ni mradi wa serikali wa kujua idadi halisi ya walioathirika...

Nina maana mtu kama amekuwa anaishi kwa kujihisi... alafu akanywa chai ya serikali (babu's tea) then akahisi kuwa atakuwa amepona... si itabidi aende ku"confirm" ili kujua kama bado upo au la???

Then pale ndo serikali itakuwa inapokea watu wanaopima kwa hiari na ndipo itakuwa raihisi kujua idadi ya waathirika....Maana ule wa kupima kwa kujitolea haukuenda ka mafanikio.
 
Huyu babu ataua watu mpaka basi. Babu anawaambia watu ARVs waache. Aisee yani kweli nimeamini Africa bora universities tuzichome moto au kizigeuza maeneo ya kuchinja wanyama (abattoire). Karne ya 21 ati, watu wako kwenye nano engineering and quantum computing sie tunachemsha majani machungu. Huyu babu anajua nini kuhusu ARVs? Yani Tanzania kweli kuna vichekesho. But ignorance is bliss..Oh well.

Lakini watu wanapona kwa Babu na wameshatoa ushuhuda huo, sasa unataka nini? Ni hiyari ya mgonjwa mwenyewe kwenda kwa babu au hospitalini.
 
Nilikuwa nasikiliza BBC kiswahili asubuhi ya Leo.. kuna mama mmoja alitoa comment ya ajabu eti "... watu kama huyu mama ndio wanapotosha Umati mkubwa wa tanzania.. na kuzidi kuwashindilia fikra za kimaskini.. ! someties naona kama movie flani hivi "the gods must be crazy" babu katurudisha karne ya 19 ..


Kuna muda mwingine nahisi kama ni kamradi fulani ka Lowasa!!!! maana hela itakayokusanywa hapo ni zaidi ya billions aiseeeeee.....
 
Tatizo letu hata hatulijui. Wote tuko kama wagonjwa wa vichaa. Kila mtu anamwona mwenzake ndiye mgonjwa na kwamba yeye mwenyewe ni mzima. Ila tatizo langu ni moja tu...kwamba nchi yetu ina laaana gani kwamba hata kama sote tu vichaa asiwepo kichaa mwenye unafuu kidogo akatukomboa?

.
Babu amepokea neema ya kuifanya hiyo kazi kwa niaba ya mamlaka iliyo juu ya uwezo wetu sisi binadamu.
.
 
Lakini watu wanapona kwa Babu na wameshatoa ushuhuda huo, sasa unataka nini? Ni hiyari ya mgonjwa mwenyewe kwenda kwa babu au hospitalini.

Bado sijaona mgonjwa wa ukimwi aliyetoa ushuhuda kwamba amepona.. hakuna kitu kama hicho... kuna hizi life style diseases kisukari, BP.. etcl.. herbs zina uwezo wa kutoa afadhali.. Lakini kwenye swala zima la HIV!! babu hapo anadanganya umati na bahati mbaya baadhi ya watu wanaamini just bcz he is a man of god na anadai ameoteshwa na mungu. wakati babu akiwa porini .. wana science wanashinda maabara na high definition microscopes learning/ trying how to interfere life cycle ya HIV .. babu yupo porini akiwa hana hili wala lile anaclaim anatibu HIV.. with unknown mechanism mbaya zaidi dawa haifanyi kazi hadi achote yeye mwenyewe.. hahahhaha
 
Sasa kama hospitali umeambiwa ugonjwa hauna dawa, na BABU kasema dawa yake inafanya kazi si bora uende ujaribu ikikataa basi?
 
AFRIKA HAKUNA MATATA!! ... hehehe!! Hii picha inathibitisha wazi wa TZ tunavodanganyika kirahisi na tunavyopenda njia za mkato.

DAWA YA UKIMWI NI MOJA TU!!! ACHA NGONO ZEMBE!! ..

Du hayo magari yote ni wagonjwa wa ukimwi? duuuuuuuuuuu, duuuuuuuuKumbe tunaongoza duniani kwa idadi kubwa ya waathirika.
 
Kuna muda mwingine nahisi kama ni kamradi fulani ka Lowasa!!!! maana hela itakayokusanywa hapo ni zaidi ya billions aiseeeeee.....

hahaha mzee mzima Richard wa Monduli .. inawekana mkuu. tusubiri kila jambo linamwisho wake
 
Wazo zuri lakini
suala la imani ni la mtu binafsi,ili upone kwa babu sharti uamini kwamba utapona,JE UNAUHAKIKA KWAMBA HAO AMBAO SERIKALI ITAWAPELEKA KWA BABU KINYEMELA WATAKUWA NA IMANI KWAMBA WATAPONA?Huu si mchezo wa kubahatisha.

Hapo ndipo babu amewakamata masikio, kama ni imani angekuwa anasema maneno tu na si kuwanywesha mwarobaini. Kumbe babu mjanja.Ameona akisema kwa maneno atatoa hudumu kwa watu wote kwa mpigo, sasa akaona ili akamate kila senti lazima awanyweshe damu ya kakakuona. Babu mjanjaaaaHivi yule babu wa tegeta bado yupo?
 
.
Babu amepokea neema ya kuifanya hiyo kazi kwa niaba ya mamlaka iliyo juu ya uwezo wetu sisi binadamu.
.
Yaleyale ya DECI
Mbona hiyo mamlaka iliyo juu mnaishusha sana!
Yaani binadamu wapo Loliondo!
Wale wa China, Canada, Libya, Madagasca etc sio binadamu?
Au nako huko wapo mababu wengine!?
 
image011.jpg



Let me have these in my library, nitawaonyesha wajukuu zangu jamani
 
Kisa chetu sisi binadamu tunaojidai ujuaji kinafanana na hidisi hii. Mtu mmoja alikuwa anasafiri yeye pomoja na mtoto wake na alimwamuru mtumwa wake amtandikie punda wake, na ndipo alipoanza safari. Alifika kijiji cha jirani akiwa amempanda punda na mwanawe akifuatana nae. Watu walipomwana wakasema huyu mzee vipi? Hana hata haya? Inakuwaje yeye anampanda punda huku akimwacha mwanawe atembee kwa mguu? Basi mzee kwa kusikia hayo alishuka kwenye punda akampakia mwanawe na yeye akifuatana nae kwa miguu. Alipofika katika kijiji kilichofuata watu wakamshangaa sana yule mtoto na kwamba hana adabu, inakuwaje apende punda yeye ilhali babae anaenda kwa miguu?. Basi kwa yale maneno ikabidi baba na mtoto wote wampande yule punda kwa pamoja. Walipofika kijiji kilichofuata watu wakawastajabia sana kwa kuwashutumu kwamba hawana huruma wala hawathamini haki za wanyama, ni kwa nini wanampanda huyu punda kwa pomoja hawajui kwamba wanamsababishia maumivu?. Basi kwa mashutumu hayo, mzee akaamua sasa watembee wote kwa miguu yao bila kumpanda punda huku wakiambatana na punda wao. Na walipokuwa wanakatiza kijiji kilichofukua kinafuata watu waliwacheka sana kisa ni kujitesa kwa kutembea kwa miguu ilihali wana punda wa kuwasaidia kuwabeba? Basi yule mzee akamgeukia mwanae na kumwambia ukiyamaliza mashutumu ya wanadamu unaingia kifoni.
Ndivyo tufanyavyo wale wasio elimu, wenye elimu ya kati na wale wenye ya juu, sooote mwisho wa safari yetu ni kifo. Ni kundi gani kati ya hayo matatu linaloweza kukwepa ama kuimalizia safari yao kwingineko?
.
 
Nimefuatilia hiyo dawa, na kugundua inaitwa Angelica Archangel au Holy Ghost root, apart from belief kuwa ni dawa toka Malaika Michael, it also have medicinal properties kama antimflamatory, antiviral, antidepression pia inafight cancer. So Mchungaji might have read the literature au kweli kafinuliwa.

Google search it's name and you will learn more about it

Unfortunately sijui jinsi ya kianzisha thread, ningetoa heading tofauti labda ingechangiwa. I hope watu wakisoma literature ya hiyo plant watapata picha nzuri.
 
"Huyu babu anajua nini kuhusu ARVs?"

una uhakika gani kama hajui, na kama mtu amepona kuna haja gani ya kutumia ARV's?
Look my ignorant friend. The world to you seems mysterious but for all the wrong reasons. We understand the basic laws of physics and from that is derived the world as we see it. from Quarks, gluons, electrons, and other elementary particles the atoms are build and from them everything else. We know this for sure because we have seen it. We have proved the existence of these things. And the particles interact with the fundamental forces. What this man is suggesting makes him either an elect of God or a liar. I'll tell you why. You cannot claim that a chemical in a plant works only if administered by you. That is nonsense. It defies the laws that predicted black holes and make GPS systems work. Remember planes would not fly and land as they do nor would we be able to send probes to Mars if these laws where false. This man is simply chatting shit in all likelihood, alternatively he is an elect of God as I said. If you ask me, he is either delusional or....sijui. TIme will teLL.
 
jamani acheni malumbano twendeni kwa babu kwani hamkuona watu wakitoa ushuhuda kwenye tv tuacheni udini tuuweke pembeni big up babu
 
Back
Top Bottom