Babu wa Samunge - ambao hawajapona warudie dawa

Mwakalinga Bujo

JF-Expert Member
Oct 22, 2008
2,719
1,440
Babu wa Samunge amewaasa waliokunywa dawa na bado hawajapona basi warudi Samunge wanywe tena kikombe.Ameelezea kuwa yeye sio mganga wa kienyeji hivyo imani ni muhimu sana.

Source ;
EA-Radio (anahojiwa muda huu na Michael B & Zembwele -Bado mahojiano yanaendeleo)
 
Watanzania walinisikitisha sana walipoenda kwa maelfu kwa tapeli huyu.
Wanaotutukana wakati mwingine wana haki kabisa.
OTIS The Illuminati.
 
Mmejaribisha mkaona kikirudiwa hakifanyi kazi?
Jamani, kuna waliopona ati!
Imani inafanya kazi!
 
Babu wa Sumange amewaasa waliokunywa dawa na bado hawapona basi warudi Sumange wanywe tena kikombe.Ameelezea kuwa yeye sio mganga wa kienyeje hivyo imani ni muhimu sana.

Source ;
EA-Radio (anahojiwa muda huu na Michael B & Zembwele -Bado mahojiano yanaendeleo)

Tafadhali jifunze kiswahili vizuri - Samunge - Kienyeji - Hawakupona. hii ndio tafsiri sahihi.
 
na waliokufa atasemaje.
walikufa maeneo ya wapi mbona huku niliko wote walioenda huko wanakula sembe kwa kwenda mbele. Tutajieni maeneo ktk TZ, tuje tufanye utafiti kwanini wa upande huo wafe na wa huku niliko wawe hai. Maana kila siku nasikia walienda huko wamekufa na nilipata pia kumsikia mhubiri mmoja akisema kuwa kuna kijiji kilfutika baada ya kupata kikombe wapi hasemi ila kushusha laana tu madhabahuni as if he is right. TAJAJENI maeneo and are you sure kuwa cause ya death zao ni kikombe tuache upotoshaji
 
Sijui kwa nini jinsi watu wanavyozidi kuwa literate ndivyo wanavyozidi kufanya mambo illiterately.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
wakati kama huu ndo huwa nammiss kinoma miss judith!!.................. sijui atamaliza lini hanemuni yake aje atudadavulie???.................... teh teh.................... PJ, nimekunote hapo juu mkuu................ biashara inanukia tena pande hizo............. hakikisha hardtop lako liko full tank 24/7 mkuu................. ni ushauri tu.................
 
Watanzania walinisikitisha sana walipoenda kwa maelfu kwa tapeli huyu.
Wanaotutukana wakati mwingine wana haki kabisa.
OTIS The Illuminati.

Babu alikuwa recommended na wakuu wengi wa wagala, nadhani ilikuwa ni PLAN B ya kukusanya sadaka za wanakondoo; at the end zinaishia mikononi mwa manabii na mitume(wasanii) wa jirani zangu.
 
BABU ajifunze kwa MR NICE au SAIDA KALORI!!!!.....kipindi cha kuvuma kikipita ndo kimepita!kama anataka kumaintain jina aingie kwenye BONGO MOVIE
 
asee huyu dingi sasa wa kuburuza mahakamani keshanogewa na hela sasa anatufanya sie mabwegeau hela imekata na hajamaliza kaghorofa kake huko loliondo?asilete utani keshaua watu chungumzima af anarudiatena ujinga wake,wale kina kaaya sasa wafungue kesi manke analetasanaa kwenye nyumba ya wasanii aghrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
huyu babu jambazi sugu bado anaendelea kuwakosea adabu watanzania?au ameshatuonelea eh kwamba sisi mabwege sio?hivi ni nani amewahi kutibiwa kwa imani?nikakute mahakamani hako kazee.
 
Back
Top Bottom