BABU WA LOLIONDO: nimeoteshwa, muujiza mpya unakuja kaeni mkao wa kula.

Duh!

Yangu macho,ila cha kufanya kwangu ni kumseach Ndallo tukaweke kambi pale Samunge tayari kwa biashara itakayotufaa pale!

Ndallo!!
Ntakuseach muda wowote babu akianza mwujiza wake!
 
Amelenga kweli na huu mgomo wa madactari wengi tutakimbilia huko

Ni mjasiriamali mwenye hekima, anayejua kusoma alama za nyakati na trend ya soko.....hivi mapato yake yaliyomwezehs akununua gari na kujenga nyumba alilipa kodi ya mapato?
 
Ni mjasiriamali mwenye hekima, anayejua kusoma alama za nyakati na trend ya soko.....hivi mapato yake yaliyomwezehs akununua gari na kujenga nyumba alilipa kodi ya mapato?

magari aliyonunua nh kwa ajili ya huduma ili iwe endelevu..maswala ya kodi hakuna.
 
Duh!

Yangu macho,ila cha kufanya kwangu ni kumseach Ndallo tukaweke kambi pale Samunge tayari kwa biashara itakayotufaa pale!

Ndallo!!
Ntakuseach muda wowote babu akianza mwujiza wake!

nazani hii ni fulsa nzuri kwenda kuwekeza pale hasa uduma za chakura na vocha aina zote.karibu kwetu samunge.
 
hapo ndipo nashindwa kupata tafsiri halisi ya shetani,..........maake kwa wale wanaoamini wamepona wanasema ni Mungu na wale wasioamini wanasema ni shetani,.....anyway_hata mimi siamini ila siwezi kutamka for sure kuwa ni shetani.

nani kapona kwa ushahidi upi?

 
Babu ni mbabaishaji na mimi naona kama ni ishara ya shetani kuangalia kama akiibua kitu ni vipi anaweza kuwateka wanadamu kupitia miujiza feki.

Hivi kweli Shetani anaweza kuhangaika na wabongo ambao wameisha jifia tayari? Shetani ana deal na ma inventors, top leaders na world tycoons
 
Kikombe cha babu maarufu sana maana hata Denmark walishatangaziwa waje wapate kikombe kimoja.

Jagwa Music safi sana kwa kututangazia biashara kwa Babu.

Ila isijekuwa zinatumika kwa watu kuja kugombea Urais wa Tanzania.......


Anzia dakika ya 2:00
 
Last edited by a moderator:
Wajinga ndio waliwao mwacheni babu ajinyakulie pesa wengine mafisadi wengine wana kaba,Babu aaaaaa,wanamfata wenyewe nakumpa sasa mnataka babu akale wapi police? Kula mwaya babu kwa raha zako wala hugobwi ...
 
Dah! Babu Dili limebuma sasa anasearch atoke vp kwa mara nyingine tena........lol
 
2napigana vita dhidi ya maadui wa3, umasikini, maradhi na ujinga.. Bt ujinga bado ni tatizo kubwa.. Dis 'kikombe cha babu thing' imeprove ni jinsi gani waTZ bado ni wajinga sana.. Wizara ya afya ilithibitisha dawa ya babu haina madhara bt wizara ilishindwa kuthibitisha kwamba dawa ya babu inaponya. Hiyo huduma ikianza wa2 watamiminika huko kama broylers, wengine walifia huko tena wengi tu.. Haya ts only time will tell..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom