BABU WA LOLIONDO: nimeoteshwa, muujiza mpya unakuja kaeni mkao wa kula.

serikali ya viziwi (ccm ) kwa mipango bwana wamekuja tena na Babu,haya ngoja na tusubiri
 
ivi wale walioenda kwa babu mbina hawajitokezi wakasema kuwa wamepona?
cha kusikitisha zaidi ni kuwa huyu mtu alikuwa endorsed na kanisa.
 
Ngoja nijiandae nikaweke makazi ya muda huko Samunge maana itakua ni shughuli pevu siku huo muujiza utakapowadia kwakua najua hiyo foleni sio mchezo!
 
Utapeli wa kikombe ume-expire sasa unaandaliwa utapeli mwingine mpya. HATUDANGANYIKI!
 
Mimi nahisi ni bora tukachukua mfano wa Babu kama mbunifu wa miradi tofauti, lakini kumshutumu nahisi kama tunakosea kwani kila mtu ana akili ya kufikiri kwahiyo mtu anayepeleka 500 yake kwa babu ni kutokana na uamuzi wake mwenyewe ambao tunauita ni uamuzi uliofanywa na mtu mwenye akili timamu, sasa vipi lawama tumtupie Babu, ni watu wangapi ambao wanatumia hela kwa kwenda kwenye burudani au kuhonga bila ya sababu ya msingi, kwahiyo matumizi yoyote mtu anayoyafanya kwa babu naamini ni halali tu, yeye kama mbunifu wa mawazo ya kutafuta hela kulingana na uwezo wa baadhi ya waTanzania wanaekubaliana naye, basi hatuna ila zaidi wengine kubaki kuwa waangaliaji. Ni kama mtu ukinunua kanda ya muziki wa rap za kimarekani ambayo hata huelewi kinachosemwa, mwisho wa yote ni burudani tu, Basi naombeni wenzangu tumuweke Babu katika kundi la watoa Burudani, kama unahisi hukubaliani naye kuwa hana miujiza wala dawa inayotibu.

mkuu nimefurahia comment yako so is to say

ushirikina+usanii=...............................................
 
Babu usiwe na shaka utawapata wateja wengi tu.
Watu wamelogwa nchi hii
OTIS
 
Amelenga kweli na huu mgomo wa madactari wengi tutakimbilia huko
 
alipoulizwa kuhusu utitili wa vikombe vilivyoibuka sehemu nyingine baada ya yeye kutoa chake,kasema wengine waongo ila wengine hajuwi.
 
ata mimi huyo jamaa simuelewi..eti atiwe ndani wakati anatibu babu wawatu.[/QUOTE]

hapo sasa_kama ndio hivyo basi hao wa muhimbili inabidi nao wakamatwe,..maake watu wengi wapo vyumba vya kuhifadhia maiti wakati walienda/ wako hospital kwa matumaini ya kupona.
 
lakini kapeleka maendelo kwao gari mbili loliondo si mchezo,pia mtandao wa airtell hupo wa kutosha..
Awamu hii itapelekwa hata tigo na zantel na viongozi waliomisi watapata.
 
ata mimi huyo jamaa simuelewi..eti atiwe ndani wakati anatibu babu wawatu.[/QUOTE]

hapo sasa_kama ndio hivyo basi hao wa muhimbili inabidi nao wakamatwe,..maake watu wengi wapo vyumba vya kuhifadhia maiti wakati walienda/ wako hospital kwa matumaini ya kupona.

pia amesema utafiti ulionesha ni dawa isiyo na na madhara na ulithibitisha uwezekano wa kutibu magonjwa mengi zaidi.
 
Hatuna cha kufanya zaidi ya kuusubiri huo muujiza!..we therefore cross our fingers!

Uncle PJ ninakukubali sana maana wewe uko straight kuliko watu wengine humu wanajifanya wanamponda babu lakini Loliondo kwenye foleni kama kawa...
 
ivi wale walioenda kwa babu mbina hawajitokezi wakasema kuwa wamepona?
cha kusikitisha zaidi ni kuwa huyu mtu alikuwa endorsed na kanisa.

wapo wengi sana walitoa ushuuda,kwa mfano mzee mlema alisema amepata nafuu ya kisukari baada ya kupata tiba kwa babu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom