Babu wa loliondo ni mradi wa Lowassa?

'Kigogo' mmoja wa Umoja wa 'Vijina' wa CCM(jina ninalo) amenidokeza kuwa kumbe yule Babu wa Loliondo ni mradi wa Waziri Mkuu Mjiuzulu,Edward Ngoyai Lowassa(Sanaa-UDSM).Amesema kuwa Lowassa alimwomba Babu ahamie Samunge ili ijengwe Miundombinu katika Jimbo lake la Monduli.Amedai kuwa Babu hakuanza kutoa 'tiba' akiwa pale alipo.Ananiambia kuwa hakuna yeyote anayeweza kupambana kisanii na Lowassa kwakuwa yeye ni msanii wa kusomea.Lowassa msanii wa kimataifa,anasisitiza.Bado naongea naye kigogo huyo

hahahaaa mpe heshima anayostahuili bwana. Kwa taarifa yako analipwa mafao kama mstaafu.
 
'kigogo' mmoja wa umoja wa 'vijina' wa ccm(jina ninalo) amenidokeza kuwa kumbe yule babu wa loliondo ni mradi wa waziri mkuu mjiuzulu,edward ngoyai lowassa(sanaa-udsm).amesema kuwa lowassa alimwomba babu ahamie samunge ili ijengwe miundombinu katika jimbo lake la monduli.amedai kuwa babu hakuanza kutoa 'tiba' akiwa pale alipo.ananiambia kuwa hakuna yeyote anayeweza kupambana kisanii na lowassa kwakuwa yeye ni msanii wa kusomea.lowassa msanii wa kimataifa,anasisitiza.bado naongea naye kigogo huyo

duh m napita tu jamani!!
 
hata mimi nimeoteshwa kuwa yule mzungu anayegawa dawa kwa vijiko vitatu ametumwa na kikwete ili masaki yote iwe ulaya while ipo tanzania................

Hii ingetufaa zaidi kule kwetu wkenye jokes
 
'Kigogo' mmoja wa Umoja wa 'Vijina' wa CCM(jina ninalo) amenidokeza kuwa kumbe yule Babu wa Loliondo ni mradi wa Waziri Mkuu Mjiuzulu,Edward Ngoyai Lowassa(Sanaa-UDSM).Amesema kuwa Lowassa alimwomba Babu ahamie Samunge ili ijengwe Miundombinu katika Jimbo lake la Monduli.Amedai kuwa Babu hakuanza kutoa 'tiba' akiwa pale alipo.Ananiambia kuwa hakuna yeyote anayeweza kupambana kisanii na Lowassa kwakuwa yeye ni msanii wa kusomea.Lowassa msanii wa kimataifa,anasisitiza.Bado naongea naye kigogo huyo

achenni mamabo ya kijinga bana...mnamonea sana huyu mzee....
 
Back
Top Bottom