Atakayenitaja namcharaza bakora!
Nilipoona picha Jina lako likanijia faster.. teh teh
Ni babu ..................shipirini
Ni babu mtibu maumivu sipirini :eyebrows:
huyo ni Aspirin hata avatar yake inajieleza alivyo msongo JF
Khaaaa! Yaani mpaka sasa naongoza kama Manchester City..........hawezi kuwa Babu DC huyu lazima atakuwa babu dawa chungu .....
Atakayenitaja namcharaza bakora!
Imekuwaje tena kajukuu kangu kapendwa? Mbona wajivunjia mbavu zako bure?haaaa haaaaa uuuuuuwiii mbavu zangu jamani babu weeee
Wee kajukuu kazuri. Zawadi yako ni kuninunulia kreti moja la biya kabla sijakucharaza bakora kwa kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa!Bora mimi mjukuu wako SIJAKUTAJA kabisaaaaaa!...eti Babu, kwan mi' nimesema ni wewe Babu?, apana..sijasema.
teh teh teh!atakubambikia Ban Muda si mrefu!Ni P.A.W
Imekuwaje tena kajukuu kangu kapendwa? Mbona wajivunjia mbavu zako bure?
Wee kajukuu kazuri. Zawadi yako ni kuninunulia kreti moja la biya kabla sijakucharaza bakora kwa kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa!
Duh! ya leo kali!Ni yule mwenye jina la dawa ya kutulizia maumivu!!!!
Tena wewe ndo umeanzisha hii photo calling..... you have been warned!Babu hako ka kreti itabidi ushee na mjukuu wako Katavi maana yeye hajakutaja...
huyo ni chipirini tu hakuna mwingine