Babu Topic Live sasa hivi ntv,uganda.

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
Wana JF,babu masapila anazidi kupasua anga,sasa hivi ndio topic.kipindi ni "ON THE SPOT" (Loliondo magic cure) wenye nafasi ni wakati muafaka kuwasikia wasomi wa jirani zetu wana maoni gani. karibuni....
 
Mkuu tujuze yanayojiri huko, si wote wenye madishi tunashika channel ulizozitaja. Hoja ya msingi ye wanakubali tiba yake au wanaiponda? Sababu.
 
wanaikubali kwa kiwango kikubwa.na zaidi walikuwa wanaishangaa miujiza ya mti ule anaouchemsha babu na binadamu wakaunywa bila kudhurika,kisayansi unathibitika kama ONE OF THE DEADLIEST PLANT na zaidi walijikita kuujadili mmea ule na miracle ya mzee masapila.
 
Back
Top Bottom