Babu seya na wanawe waachiwa

Status
Not open for further replies.

ogm12000

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
304
86
Kuna mdau kanitumia sms toka bongo kwamba babu seya na wanawe wameeachiwa huru jana saa tatu usiku, Je kuna mwenye habari ?

Tufahamishane wazee

Regards
 
labda jamaa alikua anaota ndoto ambayo ameshindwa kujua kama ni ndoto baada yakutoka usingizini.....hii mara nyingi huwatokea watoto , anapoota kuwa umemnunulia let say baisikeli, akiamka ataanza kuitafuta na kulia kuwa mmemfichia baiskeli yake....ndoto bwana.
ila mimi ningependa kujua hukumu ya rufaa yao inasomwa lini ?
 
Kuna mdau kanitumia sms toka bongo kwamba babu seya na wanawe wameeachiwa huru jana saa tatu usiku, Je kuna mwenye habari ?

Tufahamishane wazee

Regards

Ebu kwanza muulize huyo aliyekutumia sms akupe uhakika kabla ya kumwaga hapa kwenye forum. Tuna mambo mengi ya kujadili kuhusu msuitakabali wa maendeleo yetu na nchi yetu si tena tuanze kujadili udaku. Be serious!!!
 
SOMA HII USITUHUMU TU KAMA HUNA HOJA SOMA THREAD NYINGINE...DAMN.....
"Jokes/Utani + Udaku/Gossips Vimbwenga, Vunja Mbavu na udaku wa kila aina vimejaa humu!"
 
kujadili kuhusu msuitakabali[/QUOTE]

Hahahahaha.
Mustakabali... Hahahahahahaha...kuna neno lingine 'itifaki' hahahahahaha...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom