Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Yule mwanamziki aliyehukumiwa maisha jera, ameanza mikakati ya kutoka jera,

Habari zenye uhakika zinasema ameisha wasilisha rufaa yake kwa wanasheria na wakati wowote rufaa yake itaanza kusikilizwa,

Swali ni kuwa je, mazingira ya kesi mlivyo yaona ataweza kutoka?
we bw wee rufaa si inamuda wake wa kukata au ni mda wowote tu sijakuelewa
 
Kwa vile vijana wangu wako kazini, mimi nimewadokezea tu, hivyo kesho asubuhi fuatilia vyombo vya habari utapata habari kamili,

Hata hivyo wote watakao pata habari hii kwa kina wasisite kutuwekea mambo bayana.
 
Yule mwanamziki aliyehukumiwa maisha jera, ameanza mikakati ya kutoka jera,

Habari zenye uhakika zinasema ameisha wasilisha rufaa yake kwa wanasheria na wakati wowote rufaa yake itaanza kusikilizwa,

Swali ni kuwa je, mazingira ya kesi mlivyo yaona ataweza kutoka?

Hii ni kali ya mwaka. Naomba wanasheria mliomo humu mtusaidie kuhusu taratibu za rufaa hasa suala la muda tangu kesi ya msingi ilipomalizika.

Naamini alikata pia rufaa wakati ule na alishindwa (sikumbuki kama ilikuwa ni mahakama kuu au wapi). Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa anakata rufaa mahakama ya Rufani?

Tupe habari za kutosha maana umetuthibitishia kuwa una taarifa za uhakika. Naona huna uhakika sana!! My thinking.
 
Jamaa anafurahisha genge. mbona siyo siku ya wajinga duniani? (April mosi). huwezi kukata rufaa after four years bwana labda ingekuwa serikali iliyo juu ya sheria.
 
we bw wee rufaa si inamuda wake wa kukata au ni mda wowote tu sijakuelewa

Hivi kwa muda wote huo waliokaa gerezani wanaweza tena kukata rufaa? Navyoelewa rufaa hukatwa katika kipindi cha miezi mitatu baada ya hukumu au imebadilika? Wenye data kamili hebu watueleze hili.
 
Yule mwanamziki aliyehukumiwa maisha jera, ameanza mikakati ya kutoka jera,

Habari zenye uhakika zinasema ameisha wasilisha rufaa yake kwa wanasheria na wakati wowote rufaa yake itaanza kusikilizwa,

Swali ni kuwa je, mazingira ya kesi mlivyo yaona ataweza kutoka?

Kuweka mambo sawa rufaa ilikatwa siku nyingi tu ila ilikuwa haijapangiwa tarehe ya kusikilizwa, nimesoma kwenye gazeti moja kuwa imepangwa kusikilizwa kwenye kikao cha mahakama ya rufaa.

Kuhusu swali lako kesi inaamuliwa na ushahidi uliopo, sio mazingira ambayo sisi tunayaona, sisi hatukuwepo , sana sana tunasoma magazetini na hatuwezi kutoa maoni kutokana na habari za gazetini.

Subiri mpaka mahakama ya rufaa iskilize na kutoa uamuzi, huna haja ya kutaka maoni sasa.
 
Bless it! Bless it! man, respect man! thanks
 
duh nimemkumbuka papii na kibwagizo chake wkt yupo TOT (Pappi kocha amechukua ameweka waa TOT ...... shangilia ushindi unakuja) mnakumbukaaaaaa
 
Babu Seya na wanae walikata rufaa Mahakama Kuu lakini rufaa yao ilitupwa na hukumu ya lower court ikawa upheld. Hivi sasa wanakata rufaa mahakama ya rufaa. Ni kweli kwamba ipo kwenye process.
 
Now where is Vera City? We need your input on this terrible news please!
 
Nilidhani wameonyesha tabia nzuri kama kamanda wa Mungiki na yule mzungu aliyeua "bila kukusudia" huko Kenya. Kwa rufaa, wanasheria watatuambia
 
Yule mwanamziki aliyehukumiwa maisha jera, ameanza mikakati ya kutoka jera,

Habari zenye uhakika zinasema ameisha wasilisha rufaa yake kwa wanasheria na wakati wowote rufaa yake itaanza kusikilizwa,

Swali ni kuwa je, mazingira ya kesi mlivyo yaona ataweza kutoka?

Kwanza inaitwa jela sio jera!
Pili, inaonekana kwamba amekata rufaa lakini tayari conclusion umefanya "Babu Seya na wanawe kutoka jela".Kukata rufaa haina maana tayari ametoka jela!
 
Jamaa anafurahisha genge. mbona siyo siku ya wajinga duniani? (April mosi). huwezi kukata rufaa after four years bwana labda ingekuwa serikali iliyo juu ya sheria.

tafiti sio unaandika tu..it is true amekata rufaa
 
Nguza and sons appeal: Important documents land in highest court
By Keregero Keregero
29th October 2009

Nguza.jpg

Nguza Vicking

The legal documents containing the criminal appeal filed by Congolese musician Nguza Vicking and his three sons currently serving life sentence for defiling minors, have at long last landed in the highest court of the land in Dar es Salaam.
Reliable news told this paper yesterday that the documents which are known as records of appeal in legal language were formally delivered in their entirety to the Court of Appeal last week. It is envisaged that with these records in the hands of the Supreme Court, the process leading to the start of the long awaited hearing of the criminal appeal in question would soon be set in motion, certainly at a date to be determined by the court.
Nguza and his children were convicted and sentenced in 2004 by the Kisutu Resident Magistrate's Court to life imprisonment for sodomising 10 Mashujaa Primary School pupils in the city.
The trial that lasted long was finally determined by Addy Lyamuya, then Principal Resident Magistrate, who found all accused persons guilty of the offence charged, and accordingly, inflicted upon them a deterrent sentence as required by the provisions of the Sexual Offences Special Provisions Act (SOSPA) of 1998 which amended, to an extent, the Penal Code, Cap 16 Vol, of the Revised Laws of Tanzania.
However, they were not happy with the trial magistrate's decision of both conviction and sentence. They appealed to the High Court, seeking the court's intervention to overturn the decision of the lower court in their favour.
But it appears they had hoped against hope as High Court Judge Thomas Mihayo (as he then was) upheld the same, which decision threw overboard the appeal in question, hence the present appeal, of which the appellants' lawyer has all along fought for with vigour and determination, at least to see that justice has been done to his clients.
All along the appellants have been represented by Advocate Herbert Nyange. It is the appellants' case that the evidence tendered in court was not sufficient to ground a conviction. The other appellants are Francis Nguza, Papii Nguza and Nguza Mbangu. A woman co-accused who was a teacher at the same school was later acquitted by the trial court after it was satisfied that there was no incriminating evidence against her.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
ndo kwanza kumbukumbu za kesi zimefikishwa mahakama ya rufani...na kesi haijapangwa kusikilizwa bado...hiyo heading ya thread ina mislead the content of the story.
 
Haya Habari ndio hiyo, wenye mashaka na habari zangu someni hapo mtajua kila kitu.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom