Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

Kwa upande wangu nalisikiaanga alimkandamiza demu wa Mzee. Halafu pia kuna tetesi eti alishatolewa segerea akapelekwa Congo kisirisiri watu wasijue. Mwenye uhakika atuambie basi ili tufahamu vema ati.

KWELI TUACHE UMBEA ATA HAO WANAOOLIUZA ULIZA WANAJUA FIKA KIJANA NA FAMILIA YAKE HAWAKO HAPA DAR/TANZANIA NA WALIPIITISHWA WAKIWA NA DEFENDER
YA MAGEREZA NA KUELEKEA HUKO KWAO!!1NA TAARIFA TU WALIKABIDHIWA KWA MKUU WA MKOA MMOJA AAKIKISHE WAMEINGIA KONGO

Kwanini alimkandamiza, na ni Mzee yupi huyo? Maana Bongo tuna Wazee wengi

ALIMZIDI KETE ALIEKUWA KIPINDI HIKO RAISI MTARAJIWA WA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANSHANIA!!!!!!,,,,,........NA KOSA KUBWA ALILOFANYA ALIPOFANIKIWA
KUTEMBEA NA YULE MALAYA PALE KINONDONI MKWAJUNI NYUMA YA MSIKITI AKAMWIMBA KAMA KUMKASHIFU JAMAA AKAAPA KUFA NAE!!!!AMVUNA ALICHOPANDA NA KOSA MOJA AKUSOMA NYAKATI !!!!ALIPOONA JAMAA ANAKARIBIA KUUPATA URAISI ALIKUWA NA NAFASI YA KUANZA MAPEMA !!!
 
PDiddy
Mbona umeshasema kila kitu. Asiyeelewa na katu hataelewa.
 
Hebu Ingia kwenye YOUTUBE na angalia wimbo wa SEYA. Au fuata hii link uone TOTO lenyewe, mhh walahi hata mie ningelipeleka Mtu Congo (just kiding). [media]http://www.youtube.com/watch?v=zE9i1A_vJaI[/media]
 
Hebu Ingia kwenye YOUTUBE na angalia wimbo wa SEYA. Au fuata hii link uone TOTO lenyewe, mhh walahi hata mie ningelipeleka Mtu Congo (just kiding). [media]http://www.youtube.com/watch?v=zE9i1A_vJaI[/media][/QUOT

so unatakakuniambia yule binti kwenye wimbo ndo mhusika?
 
Hivi karibuni amekabithiwa prado ambayo kipindi fulani alikuwa akiendesha
mtoto wa mamamkubwa!!!!**R**
 
--------------------------------------------------------------------------------

Ndio maana mzee alimbeba na familia yake. Kweli mwenye cheo muogope. Anyways huo wimbo Seya ni mzuri sanaa

mkuu lusajo tatizo watanzania sisi ni wabishi hata kwenye maisha yetu wenyewe

sikuzote alieshika kwenye makali mwogope ndugu!!!!wanaeshimika hata kwenye biblia
hata kama ni mafisadi!!tuombe mungu awaondeoe na si kupigana nao kimwili wata(Tusi)(Tusi)(Tusi)(Tusi)liza
usahaulike kwenye ulimwengu wa dunia na hata wa nuruni usiuone maana ............
wakikuondoa hata sala ya mwisho hawakupi muda ndugu yangu!!!hilo likae kichwani kwetu

mungu ampe nguvu na kuamini maisha ni popote hata akiwa kwa PASTOR R.MUGABE
 
Mmh nashindwa kuelewa jamani kama walishapelekwa congo wale tuliowaona wakiimba na kucheza pale ukonga ni akina nani?
 
mzee mwenyewe siku hizi anapenda sana kwenda kibaha kwa mama mdogo ambaye amempa kacheo fulani
__________________
shy na wewe umo?????????!!!hako nakasikia ila tumwagie data kidogo
hata ka PM Roger
 
..nguza viiking alikuwa na ugomvi na mkulu kikwete,alimchukulia malaya wake aliyekuwa akimpenda ..offcourse ilikuwa kabla hajawa presidaa.....

kesi ya babu seya ...ilipangwa,....yule mwalimu aliyeshtakiwa naye ambaye alikuja kuachiwa huru alihusika ku link....inawezekana kabisa mipango ya kumkomoa babu seya ililenga kwenye weakness yake yenye ukweli fulani..ie ..mfano unauza bangi alafu ukamchukulia mtu mkewe...anaweza kukuchoma ...

ukweli kuwa babu seya anapenda watotot wadogo...[kama walivyo baadhi ya watu hapa mjini na watoto wa shule ..unaweza kuwepo]....lakini kinachosikitisha ...NI KUINGIZA FAMILIA NZIMA KWENYE KISASI HIKI....KWA UGOMVI WA BABA YAO HAIKUBALIKI...KWANI HAIINGII AKILINI KUWA BABU SEYA ALIKUWA AKIWAPIGA MANDE WALE WATOTO NA VIJANA WAKE[PAPII,JOHNSON, NA MBANGU]..TENA KWENYE CHUMBA KIMOJA...HILO HALIKUBALIKI...NA IMEKUWA KAMA KUFUTA KIZAZI CHA NGUZA DUNIANI.....

NATOA RAI ANGALAU HAWA WATOTO WAKE WAPEWE MSAMAA ....NA RAIS...THE WHOLE ISSUE IMEKUWA PLANNED KUWAKOMOA...

JUZI NGUZA NA FAMILIA YAKE WALIONESHWA WAKIIMBA GEREZANI...WAKATI PAPII AKIIMBA ALITOA KIONJO KWENYE RAP YAKE KILICHOMSIKITISHA KILA MTAZAMAJI ..ALISEMA AKIIMBA...RAP "......HATA WAKIBANA ...MUNGU NDIYE ANAJUWA..!!!"....KILA MTU AKISIKITIKA ..NA ALIMALIZIA MANENO HAYO AKIWA AMEELEKEZA MACHO MBINGUNI.....

TUNAWAOMBEA ..NA KWELI KAMA WAMEONEWA...MUNGU NDIYE ANAJUWA!!!!
 
Kwa upande wangu nalisikiaanga alimkandamiza demu wa Mzee. Halafu pia kuna tetesi eti alishatolewa segerea akapelekwa Congo kisirisiri watu wasijue. Mwenye uhakika atuambie basi ili tufahamu vema ati.

Mkuu bado yupo anaoza Ukonga hapo.
Juzi juzi alitumbuiza kwenye bonanza la grobalpublisher.
Wenye data wanadai jamaa alikuwa anapiga picha za watoto za utupu kisha anauza majuu huko kwa hiyo Mungwana alivyo enda huko akaonyeshwa ndo kisa cha kumkamata jamaa na kumuweka ndani lakini ile kesi ya watoto alio simama nao mahakamani ilikuwa ya kutungwa.
 
Mama huyo, akiwa na simanzi ya kudumu usoni, aliwaambia waandishi wetu kuwa, siku ya Bonanza hilo hakutaka kufungulia Tv kwani aliamini kuwa, kwa kumwona mwanae (Nguza) na wajukuu zake watatu (Francis, Mbangu na Papii Kocha) angeumia sana kwani mara nyingi hutoa machozi anaposikia lolote linalohusu familia hiyo iliyoko jela maisha.

Huku akiwa amemkumbatia mikononi mjukuu wake ambaye alisema ni mtoto wa mwanae mkubwa (kaka wa Nguza), mama huyo aliendelea kusema kuwa, amekuwa akiishi bila imani kuhusu kufungwa kwa mwanae na wajukuu zake hasa baada ya baadhi ya vigogo Serikalini (alikataa kuwataja majina) kukataa kuwapa uhamisho akina Nguza kutoka kwenye Gereza la Ukonga waliko sasa kwenda kwenye Gereza moja nchini Kongo ambako ndiko kwenye asili yao.

Alisema hilo lilijitokeza muda mfupi baada ya familia yake hiyo kuhukumiwa ambapo Rais wa Kongo, Joseph Kabila aliiomba nchi kuwahamishia wafungwa hao katika Gereza moja la nchi hiyo. Lakini alikataliwa.

Aidha, mama huyo alisema kuwa, inavyoonesha kuna mchezo mchafu unafanywa ili kuendelea kuwaweka gerezani watoto wake lakini anaamini Mungu yupo, siku si nyingi watatoka kutokana na maombi anayofanya kila siku.

“Naamini kuna mchezo mchafu ambao unachezwa na baadhi ya viongozi wa Serikali watoto wangu wasitoke, lakini naamini kwa uwezo wake Mungu ninayemuomba kila siku watatoka tu, na watatoka kishujaa kwani kuna mpango wa kukata rufaa kwa mara nyingine na safari hii tunaamini tutashinda na watakuwa huru,” alisema mama wa Babu Seya.
Hakuishia hapo, mama huyo aliongeza kuwa, iwapo mwanae na wajukuu zake watatoka hawatakaa tena nchini kwani mpango wao ni kurudi kwao (Kongo) ambapo wanatarajia kuwa na msafara mkubwa ambao utapokelewa na idadi kubwa ya wakongo na kufanyiwa sherehe ambayo haijawahi kutokea.

“Iwapo Nguza na wanawe watafanikiwa kutoka Gerezani, tutaondoka kurudi nyumbani kwetu Kongo ambako tutakuwa na msafara mkubwa. Tukifika huko watatupokea kwa shangwe na kufanya sherehe kubwa kwani Nguza anafahamika sana kwasababu baba yake alikuwa ni mfalme, hivyo kila mtu ana hamu ya kumuona na siku hiyo patakuwa hapatoshi,” alisema kwa masikitiko makubwa mama wa Nguza.

Katika hali iliyoonesha kusikitishwa sana na kifungo hicho cha mwanae na wajukuu zake, mama huyo alisema siku watakapohama hawataacha hata vifaranga, achilia mbali kuku wenyewe.

Hili ni tamko kubwa kulitoa mama huyo toka wanae hao wahukumiwe kifungo cha maisha jela mwaka 2005 kwa kosa la kuwanajisi watoto.

Bonanza la Wafungwa liliandaliwa na Kampuni ya Global Publishers inayotoa magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Ijumaa Wikienda, Championi, Amani na Risasi.
 
Hii inasikitisha sana na mara nyingi nikisoma hii taarifa ya Nguza Family natokwa na imani na viongozi wa nchi hii. Kwa kuwa sijui ukweli halisi wa hili, nadhani wako wenye data. wasiwasi wangu ni kwanini kesi hii ilendeshwa chemba sana.

Kama ni harakati za kuamsha ari ya kuwezesha rufaa ya Nguza nadhani ikianzia hapa JF naiamini JF ni wanaharakati wenye uhakika na kile wanachofanya.
 
BMO,
Video ya BABU SEYA unaweza kuina kwenye ukurasa wa pili wa hii thread. Ukibonyeza ile picha au maneno upande wa kulia, inafunguka hapo hapo. kama una shida basi ingia kwanza YouTube - Broadcast Yourself., na sehemu ya kutafuta video andika maneno "NGUZA VIKING SEYA" na utaiona. Ukiibonyeza utakiona kimwana na Kipengule chake.
 
Yule mwanamziki aliyehukumiwa maisha jera, ameanza mikakati ya kutoka jera,

Habari zenye uhakika zinasema ameisha wasilisha rufaa yake kwa wanasheria na wakati wowote rufaa yake itaanza kusikilizwa,

Swali ni kuwa je, mazingira ya kesi mlivyo yaona ataweza kutoka?
 
Back
Top Bottom