kapotolo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 3,727
- 2,214
Unaangalia ustaarabu mwengine when ur dead already, sikatai watu wanywe lakini waendelee na dawa zao za hospitali jamani.kunyweni dawa,theres no problem in trying alternative medicine,afterall haicost kitu zaidi ya jero,kama haifanyi kazi then unaangalia ustaarabu mwengine at least umejaribu lakini....:smash: