Babu Loliondo Apimwe Akili

Technology

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
769
284
Hivi Serikali imefanya initiative zozote kumpima akili Mchungaji Mwasapile na je ni mtu anaetumia madawa ya kulevya au laa. Ni hatari saana kumuacha aendelee na huo mchezo wa kuwapa watu dawa ambayo inaweza kuja kuathiri afya za watu
 
Smellie smelling thread!
Hakuna hata pumba kwny hii thread, maana pumba zina faida ya kulisha nguruwe!
Kama una wajukuu wahi nyumbani ukacheze nao!
 
.
Kati ya babu na serikali ikiwa ni pamoja na wewe ni nani wa kupimwa akili?
Waandamizi wa jk wameshapata kikombe na sasa ni zamu ya waandamizi wa Kibaki kama ulivyowashuhudia kwenye foleni kuanzia .ajuzi.
Kwa uzoefu wako wewe, katika mambo yahusuyo imani ni nani aliwahi kupimwa akili?
.
 
kweli kabisaaa,mtu anayesumbuliwa na halucinations ni mgonjwa wa akili,pia ana delusional beliefs kwamba yeye ana superior powers ni charasteristics za pyschosis....bahati mbaya haya magonjwa ya akili hayajapewa mwanga wa kutosha ndio maana babu wa watu kapewa attention zaidi badala ya kupata medical attention.:alien:
 
Hivi Serikali imefanya initiative zozote kumpima akili Mchungaji Mwasapile na je ni mtu anaetumia madawa ya kulevya au laa. Ni hatari saana kumuacha aendelee na huo mchezo wa kuwapa watu dawa ambayo inaweza kuja kuathiri afya za watu

.
Kati ya babu na serikali ikiwa ni pamoja na wewe ni nani wa kupimwa akili?
Waandamizi wa jk wameshapata kikombe na sasa ni zamu ya waandamizi wa Kibaki kama ulivyowashuhudia kwenye foleni kuanzia .ajuzi.
Kwa uzoefu wako wewe, katika mambo yahusuyo imani ni nani aliwahi kupimwa akili?
.
 
Mtoa mada ameongea kitu hapa, nimesikiliza taarifa ya habari ya ITV saa mbili, babu alihojiwa kuhusu watu wengine kutoa vikombe, majibu yake yalinipa picha kuwa babu amekaa kibiashara zaidi. Yeye si mtu wa kwanza Tanzania kuanzisha mitishamba, hivyo kitendo cha kuwakemea watoa vikombe wengine tena kwa lugha ya vitisho kote huku ni kujihami kulitetea soko lake.
 
Kwani jamani Loliondo mmelazimishwa kwenda? Si nyie wenyewe ndiyo magonjwa yenu ndiyo yanayowapeleka kwake, yeye ameshasema hakubandika bango popote pale ila ni uponyaji wake! Hakuna sababu ya kumpima akili, ila kama utaki usiende.
 
sipati picha siku ikijulokana babu alikuwa na matatizo ya akili hhahahaahaaaaah!
 
Kwani jamani Loliondo mmelazimishwa kwenda? Si nyie wenyewe ndiyo magonjwa yenu ndiyo yanayowapeleka kwake, yeye ameshasema hakubandika bango popote pale ila ni uponyaji wake! Hakuna sababu ya kumpima akili, ila kama utaki usiende.

wote walioenda na babu wanahitaji kupimwa akili
ila hao wagonjwa understandably wameenda out of desperation!
 
Eh me sijawahi kuona tangu nizaliwe,eti mganga amfate mwenye shida,babu hajamuita mtu wanaenda wenyewe bila kuitwa,nenda ukaongee hayo maneno samunge,uone utachokipata.
 
Huyu babu narudia tena ni mwizi natapeli mkubwa,anatakiwa ashtakiwe na aende jela kwa utapeli nawizi.
 
Mtoa mada ameongea kitu hapa, nimesikiliza taarifa ya habari ya ITV saa mbili, babu alihojiwa kuhusu watu wengine kutoa vikombe, majibu yake yalinipa picha kuwa babu amekaa kibiashara zaidi. Yeye si mtu wa kwanza Tanzania kuanzisha mitishamba, hivyo kitendo cha kuwakemea watoa vikombe wengine tena kwa lugha ya vitisho kote huku ni kujihami kulitetea soko lake.

Ingekuwa ni wewe umegundua "deal" la namna hiyo na unapata watu lukuki ungedai sh 500 ya Bongo halafu bado uigawe? Sasa pesa itaipata wapi (kama nia yake ni kupata pesa - kumbuka the old man retired 10 years ago na kaanza huduma yake less than 3 years ago) kama mia tano yenyewe unayoipata unaigawa tena?

Muite jina lolote, lakini si la kutafuta pesa. Jitahidi kutafuta namna ya kumchafulia jina if you must lakini hiyo uliyoileta hapa it does not add up. Unless unadhani kila mtu anaweza kukusikiliza bila kufikiri (Kama chama cha wenye magamba)
 
Smellie smelling thread!
Hakuna hata pumba kwny hii thread, maana pumba zina faida ya kulisha nguruwe!
Kama una wajukuu wahi nyumbani ukacheze nao!
Chuki binafsi hata vyombo vya habari jamaa asikilizi?wakati serikali ishatoa kauli yake juu ya dawa ya babu!TFDA,NMRI Wameishasema na wakasema huo mti wa dawa nisumu kweli ila kwakuchanga na dawa nyingine sumu hakuna!!
 
Back
Top Bottom