babu DC......

Sasa mbona ulizituma kupitia kwa wakala/dalali/agent ..... Bishanga??
..Zimefika na karibu sana hapa kaunta tupate kinywaji!!

Babu DC!!

Mkuu DC nilijuwa Bishanga atakuwa ni wa kwanza kukuona kabla yangu, ili nihakikishe na mimi zangu zafika mapema nikaona ni heri atangulie nazo. Nashukuru kwa ukaribisho, siku ingine nitakaribia...
 
Mkuu DC nilijuwa Bishanga atakuwa ni wa kwanza kukuona kabla yangu, ili nihakikishe na mimi zangu zafika mapema nikaona ni heri atangulie nazo. Nashukuru kwa ukaribisho, siku ingine nitakaribia...

Poa mkuu....hapana maneno!!

Babu DC!!
 
Babu maunela is back hureee

nilikosa mabusara sana, but natengua statement siku hile haikuwa valuu
 
Duhhhhhhhh.....

Hata sijui nianzie wapi....ila ukweli ni kwamba I am very humbled by your concerns!!

Iwe mshaija Ta Bishanga.....sijui nikushukuruje ila ukweli ni kwamba Babu ni mzima na Bibi Pia...Walienda kuchungulia maeneo ya ng'ambo ya Lweru ambako nyumba zote za wageni zimevalishwa mipira ya watoto kuzuia kunyweshea matandiko!!

Mzee mwenzangu Asprin na wakuu wengine wote.....My big salute kwenu!!

@ BADILI TABIA...lazima nikutafute unipe zawadi yangu ili nimpatie Bibi DC aitunze!!

Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!

Babu DC ....1947!!!

Sasa BiG Babu, mi nilidhani unarudi na MTM??

Poa, nimefurahi kukuona mkuu wangu!
 
Sasa BiG Babu, mi nilidhani unarudi na MTM??

Poa, nimefurahi kukuona mkuu wangu!

Huyo MTM yuko hapa anamalizia glass ya mwisho...he will be here soon!!

Ahsante sana kaka, na mie nimefurahi sana kuwaona wadau nyote!!

Babu DC!!
 
nawaza kwa loud speaker tu.

Si unajua wazee hata kama hawawezi tafuna mhogo mbichi angalau wanapenda lamba tu.

Hivi wewe Kongosho hujaacha vituko???....Babu kazeeka kila kitu hata maini....bado figo tu ndiyo zinamfanya avute siku!!

Babu DC!!
 
Duhhhhhhhh.....

Hata sijui nianzie wapi....ila ukweli ni kwamba I am very humbled by your concerns!!

Iwe mshaija Ta Bishanga.....sijui nikushukuruje ila ukweli ni kwamba Babu ni mzima na Bibi Pia...Walienda kuchungulia maeneo ya ng'ambo ya Lweru ambako nyumba zote za wageni zimevalishwa mipira ya watoto kuzuia kunyweshea matandiko!!

Mzee mwenzangu Asprin na wakuu wengine wote.....My big salute kwenu!!

@ BADILI TABIA...lazima nikutafute unipe zawadi yangu ili nimpatie Bibi DC aitunze!!

Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!

Babu DC ....1947!!!
Mkuu ,in your absence,a lot of water has passed under the bridge,wajukuu zako nilijitahidi kuwalinda kwa ari,kasi na nguvu mpya lakini ilishindikana.
sweetlady kamwacha mzazi mwenzie nitonye kakimbilia kwa bishororo Vin Diesel,kisa vin kajaliwa, Lizzy naye kam dump Nyani Ngabu kenda kwa Gentleman kisa eti anavaa miwani ya bei mbaya AshaDii ndo kabisa baada ya kuolewa na mpemba wa chakechake akajipiga life ban,kisa asiachike klorokwini naye aliiba mke wa mtu akabambwa,anasota segerea , Asprin naye usiseme kajitia fundi wa kukagua niniliyu yake ikanasa kwenye niniliyu ya cacico, Cantalisia naye katoroka kwa babake @ mtambuzi kisa penzi la Rejao,rejao mwenyewe anapiga msuba kwa kwenda mbele.
Babu DC wamjua Erickb52? Huyu ndo supastaa mpya wa jf,nasikia ana niniliyu punda cha mtoto ( alisikika Amyner akisema haya saloon),mamodi nao kufuatia mgomo wa madaktari nao waligoma wakidai @ invisible awaongezee mshahara,yaani we acha tu.
 
Last edited by a moderator:
nawaza kwa loud speaker tu.

Si unajua wazee hata kama hawawezi tafuna mhogo mbichi angalau wanapenda lamba tu.

You have been warned...Punguza uchokozi na ushabiki usio na tija kwa Babu???

Unataka naye apigwe sudden death ya just after mid-night???....Arteries hazina nguvu ya kuhimili pressure ya ugomvi wenu wa mida hiyo!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom