babu DC......

Babu Dark City, nisamehe sirudii tena, siku ile ilikuwa ni valuu tu.

Yaani kuomba ka uhausi kidogo tu ukakimbia mazima? Mie mjukuu nilikuwa nakutania tu.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
by the way, sijamuona kitambo sasa! huwa ana ushauri mzuri sana kwa siye wajukuu zake, lol! Bishanga ama tuandamane??
 
Last edited by a moderator:
Mara ya mwisho kabisa nilipanda naye basi la Shengena wakiwa na Mwali , wakashukia pale Msata wakiniaga kuwa wanachukua bodaboda hapo hadi kijiji kinachoitwa Mchambiakisu, ambako wana mfugo wao.
Tokea hapo Sijamsikia tena.
 
Last edited by a moderator:
afu hata EMT na Lizzy wamatorokea Bahama Mama pale kimara ooops no kumbe namaanisha Bahamas

Hahaha Roulette bana, naona unawaita washkaji zako kijanja kwa kuwamention(waulize Mbu na MwanajamiiOne). Ngoja nami nimstue swahiba wangu klorokwini kwa mtindo wa kimodereta.

Shemeji cacico mi namtafuta WomanOfSubstance umenionea wapi?


Kiongozi mi nawatafut bht na zionDoughter ushanionea mahala?

Haya mie nawatafuta wafuatao: Nyani Ngabu - nina ujumbe wako kutoka kwa Husn Lizzy - nna habari nyeti kuhusu yule jamaa yetu fanya hima nikuhabarishe The Boss - Eliza wa Tegeta anakutafuta kwa udi na uvumba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom