Babu/baba/mama aliniambia. . . . . . .

Ronn M

JF-Expert Member
May 2, 2012
1,279
683
Wikiend ndo hiyo jf inanipa raha! Hebu kumbuka yale mambo wazazi/wazee wako walikwambia lakini yalikuwa either funny, strange or unbelievable!

Mf 1. Wajomba zangu watatu walisoma shule darasa moja na wote separately waliniambia wameshika nafasi ya kwanza std 1 mpaka seven.!
 
Babu yangu aliwahi kuniambia ' Huyu bibi yenu nimemtoa kwenye shida sana'. . . Loh
 
Enzi hizo nakua 'mwanangu, hawa wasichana cheza nao tuu wakikuta kimbia, wanabeba treni we pigeot utawaweza'? Loh nimekumbuka leo
 
baba yangu aliwahi kuniambia "Mwanangu, nakukazania kusoma siyo ili uje kunisaidia baadae, nakukazania ili nisije nikaendelea kusomesha wajukuu zangu nikishazeeka"
 
That was and still a big point! Mambo ya kusomesha wajukuu!
 
si ndo hapo? aliona ajihami kabisaaaaaaaaaaaaaa, maana mama yao kama hatakuwa na maisha mazuri basi mzee ingebidi ajipinde na pensheni yake kusomesha wajukuu badala ya kula na mamsap
 
ivi ukizaliwa mvulana pekeako afu umwambie mazaako unataka kwenda kusomea uchungaji wa Kiroma,ivi atakuelewa kweli?
 
Na hii changamoto huwa ipo sana! Either kwasababu ya kuwa irresponsible or because of this HIV! Mama huwa hasemi maneno mengi, utaskia, 'Mwanangu. . . Ukimwi!
 
Mi waliniambia nisithubutu kujaribu michezo ya kikubwa kwani ni hatari sana... Na niliwaona kama vile washazeeka waliponikataza kwenda Disco Theque.... Kumbe starehe zipo na haziishi sanasana zinakuja mpya na kila aina ibilisi anaziboresha tu! Gee Cee
 
ivi ukizaliwa mvulana pekeako afu umwambie mazaako unataka kwenda kusomea uchungaji wa Kiroma,ivi atakuelewa kweli?

Mama mwenye busara: Mwanangu una uhakika Mungu kakuita?

Mama mwingne: hebu toa shida zako hapa, ukienda mimi siyo mama yako
 
Mi waliniambia nisithubutu kujaribu michezo ya kikubwa kwani ni hatari sana... Na niliwaona kama vile washazeeka waliponikataza kwenda Disco Theque.... Kumbe starehe zipo na haziishi sanasana zinakuja mpya na kila aina ibilisi anaziboresha tu! Gee Cee

Inawezekana wakati wanakwambia hivyo jana yake ulikuwa unabinjuka
 
Huko nyuma kishughuli nilikua ndiyo meneja wa kusimamia miradi ya Kaka yangu.
Siku moja Baba yangu (ambae ndiyo pia Babake Kaka)
akaniambia "mwanangu mtegemea cha ndgye hufa maskini! , ikitokea ghafla huyu Kakaako kafa na hivi ana watoto.
Hii mali yote itakua chini yao, na wao ndy watakua na maamuzi ya ww kubaki unasimamia ama wakutimue! Hivi unatumia mali hizi ni kwa vl nduguyo yuhai.
Namshkuru Baba maneno yake yaliniondoa buibui usoni, nikaanza kujitegemea hadi leo, na alichokisema Baba hakikuanguka kwani Kaka alishakufa na wanae wana mikesi ya mirathi kotini kibao.
 
Wikiend ndo hiyo jf inanipa raha! Hebu kumbuka yale mambo wazazi/wazee wako walikwambia lakini yalikuwa either funny, strange or unbelievable!

Mf 1. Wajomba zangu watatu walisoma shule darasa moja na wote separately waliniambia wameshika nafasi ya kwanza std 1 mpaka seven.!

mwanangu junior soma sana hawa watoto wa kike wapo tu, tena ukiwa na hela watajileta wenyewe...

Mpka sa hizi nasoma balaa, hope siku mambo yatajipa
 
Huko nyuma kishughuli nilikua ndiyo meneja wa kusimamia miradi ya Kaka yangu.
Siku moja Baba yangu (ambae ndiyo pia Babake Kaka)
akaniambia "mwanangu mtegemea cha ndgye hufa maskini! , ikitokea ghafla huyu Kakaako kafa na hivi ana watoto.
Hii mali yote itakua chini yao, na wao ndy watakua na maamuzi ya ww kubaki unasimamia ama wakutimue! Hivi unatumia mali hizi ni kwa vl nduguyo yuhai.
Namshkuru Baba maneno yake yaliniondoa buibui usoni, nikaanza kujitegemea hadi leo, na alichokisema Baba hakikuanguka kwani Kaka alishakufa na wanae wana mikesi ya mirathi kotini kibao.

Wazee wameona mengi. Wanabusara!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom