Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,597
<br />Hoja iko wapi hapo? Kwamba CCM ni wachawi? Mods mnatoa uhuru uliopitiliza kwa kuruhusu imani hasi kama hizi kupenya kwenye hii site. Hili jukwaa limefanyiwa marekebisho lakini hata sioni faida yake. Sasa hii ilete hisia kwamba watu wote waliokufa wiki iliyopita, mwezi uliopita au mwaka uliopita wamerogwa na CCM?
<br />
Hili ni jukwaa la kijamii, yote yanayohusu jamii yatazungumzwa mkuu, wewe ndio unataka kupenyeza hizo imani maana kwa post moja tu, umeongea mengi sana.