Babu aliyetaka CCM ife kabla yake na kushangiliwa kwenye TV agongwa na gari na kufariki...

Kwa aina ya kifo chake na kauli yake dhidi ya mamafia tunalazimika kujenga hoja yenye kuhitaji uchunguzi wa kizalendo!
Hivyo mnao jihami kwa kusema ni kifo cha kawaida hamko timamu vichwa vyenu!
Hapa ni mahali pa great thinker jamani msiwe vichwa pasi kiasi hicho!
Ccm isiwaharibu akili zenu kiasi cha kutoona mbele!

Umezungumza kwa uhakika mkubwa kwlei (absolute certainty) unajua aligonjwaje, wapi, na nani, na vipi? Vipi kuhusu huduma aliyopewa na majeraha aliyosuffer? au kwa mfano familia waliambiwa nini na madaktari kuhusu hali ya mgonjwa?

Great Thinkers tunapaswa kufikiri na kuhoji kwa mapana kiasi hicho Mkuu!

Baadhi yetu humu hatujishughulishi sana kufanya tafakuri za kina kabla ya kuweka mikono kwenye keyboards.

RIP Mahimbo! CCM Iko njiani kukufuata uliko!

kwanini unafikiria ni taariifa zinazohusiana na CCM na siyo madaktari, polisi, hospitali au mtu aliyemwokota a.ka Msamaria Mwema baada ya ajali? Nashangaa watu wameanza kuitetea CCM na serikali.. wassup with that? Si muda wote watu wanaifikiria au kuihofia CCM kihivyo.

Sina hakika endapo nimekuelewa; hata hivyo nina uhakika kwa 100% kwamba wewe hujanielewa!! NINA HOFU; NAOGOPA!!

Hili jamvi hivi sasa limekumbwa na gonjwa baya sana ambalo linatutafuna wana-jamvi!!! Nina hofu maradufu kwavile sikutarajia kwamba hata mkuu MKJ nawe ama unanyemelewa au tayari limeshakukumba gonjwa hilo!! Prove me wrong! u know what? Hivi sasa imefikia mtu akizungumza chochote +ve abt CCM au CDM basi mtu huyo anaitetea CCM au hiyo CDM!!!! Come on men!!

Sizani kama thread yako inahitaji mtu awe na shahada ya GREATER THINKING ndipo afahamu kwamba inalenga kuonesha kifo hicho kina dalili za kuwa na mkono mtu!!! So, kama hoja ambazo zinapamba thread hiyo ni kwamba huyo aliikosoa vibaya CCM na serikali yake sasa ni nani basi anaweza kuwa first suspect (as per ur thread) endapo itaonekana kuna mkono wa mtu?! Sasa mtu akiwa na mashaka endapo kweli CCM/serikali wanaweza kupoteza muda kwa mtu kama huyo ambae sio influencial kivile huko ndo kuitetea CCM??!!

Tell me bro; sio kwamba kale kagonjwa nilikokataja hapo juu kanaanza kukunyemelea au ndo ushaathirika nako?! I wouldn't bother if could be someone else; but u?! no plz, stop it!

Ni bahati mbaya mzee kafariki kabla ya ccm kufariki. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi!

Hofu hakika humu jamvini imetanda!

Labda isiwe ni hadithi kama ya Shimbo, maana huyu mtowa mada haaminiki kabiiisa kwa kutunga!
tetea dhuluma na endelea kuishabikia hadi siku ile sumu yake itakapomtafuna mtoto wako hapo ndipo utakapofumbua macho na kutamka hadharani kweli dhuluma ni kipofu asiye na baba wala mama.......................na ya kuwa hata weye mteja wake umeaathirika nayo.................

Vifo vingine watu wanajitakia wenyewe. Sasa mzee mzima unaanza kusema kwamba hutakufa hadi CCM ife kana kwamba wewe na Mungu damu damu!! Mungu tu ameamua kuwaonyesha waja wake kwamba kila ufikiriapo kufanya jambo mtangulize mungu wako wa neno Insh'Allah na siyo kukurupuka tu na kujipangia kwamba wewe hufi hadi fulani afe, alaaa!! Haya sasa ametangulia mbele za haki kwa hiyo ina maana CCM haifi au?

Kwani ccm si imekufa rasmi tarehe 30/07/2011 kule Dodoma? Na wosia utasomwa rasmi 2012.
Mzee alitabiri vizuri kabisa.

Mbona unaishuku CCM? Ni wewe ndiye uliyesema "amekufa kifo cha kawaida"... well kwanini ulifikiria hivyo hadi ukasema kwani kuna kifo kisicho cha kawaida?
Kama hajaelewa mpaka hapo basi tena, sidhani kama anaweza kupata jibu zuri zaidi ya hili

Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/159600-babu-sitakufa-kabla-ya-ccm-kufa-2.html

Tread careful in issues of faith...very careful especially so for this holy month of ramadhan, don't go out of your way to belittle other's faith based on your own understanding, its not and has never been a winning battle, just discuss mzee Mahimbo and his statement, you don't have to drag christianity in it as well, nobody really will change their faith based on what is posted here, even when proof and science stand to defend it, let's enjoy JF based on what is being discussed and not the discussant neither go low enough to touch people's faith,

Mungu hadhihakiwi

RIP kamanda, utakutana na CCM huko huko ahera..walishatangulia na Mwl. J K Nyerere, Dr. Omari Juma, Kawawa, Sokoine,

Hii ndiyo laana yetu watanzania, kufikiri juu ya uchawi kabla ya kitu kingine. Adui wa maendeleo ya mwafrika ni mwafrika mwenyewe. Inashangaza miaka 50 baada ya uhuru, imani za kishirikina bado zinapewa kipaumbele kiasi hiki. Haitashangaza kuona hii thread itaongoza kwa idadi ya wachangiaji leo na kuziacha mada chanya pembeni. Huu ni utumwa na wazungu wanatucheka sana kwa ujinga wetu.

Hapa hakuna cha UCHAWI wala UZUNGU kulizungumzia hili jambo. Haihitaji mtu uwe na PHD kuielewa hii thread. Mie sioni tatizo la mleta habari japo ameongezea na maoni yake. Kilichopo na cha msingi ambacho tunakizungumzia hapa ni kuwa yule Mzee alisema HATA KUFA kabla ya CCM kufa. Yaliyotokea yeye ameishakufa(kama taarifa za kifo chake zilivyoletwa). Kwahiyo ni suala la wapokeaji wa habari kupima kwa watakavyoona wao, kama ni kifo kutokana na kumkufuru Mungu sawa, kama ameuwawa ili kuthibitisha kauli yake sio ya kweli sawa, lakini pia yeye alikua binadam kama sisi hivyo suala la kutabiri kifo liko nje ya uwezo wetu hatuwezi kujitabiria tutakufa lini kama ambavyo hatukujitabiria tutazaliwa lini. ENDELEA CHANGANYA NA YA KWAKO!

Tread careful in issues of faith...very careful especially so for this holy month of ramadhan, don't go out of your way to belittle other's faith based on your own understanding, its not and has never been a winning battle, just discuss mzee Mahimbo and his statement, you don't have to drag christianity in it as well, nobody really will change their faith based on what is posted here, even when proof and science stand to defend it, let's enjoy JF based on what is being discussed and not the discussant neither go low enough to touch people's faith,

Mungu hadhihakiwi

Si umeona Nsiande?! tena ngoja ni-sign out nisije nikaharibu swaumu yangu humu!!

Sasa nani ataishi milele kwenye hii dunia? Na wewe mleta mada ukifa leo jioni, kesho watu watapost hapa kwamba umafia wa CCM umehusika kwasababu (jana) yaani leo ulileta mada inayohusisha kifo cha huyo mzee na CCM. Watu wengi watashangalia lakini baadhi watalia, ingawa CCM itadumu milele. Kwa maslahi ya chama, kipi ni nafuu zaidi? Kifo cha huyo mzee au kufedheheshwa kwa CCM?

Back
Top Bottom