Babu aliyetaka CCM ife kabla yake na kushangiliwa kwenye TV agongwa na gari na kufariki...

Mkuu Mwanakijiji sijui kama jibu lipo humu katikati katika hizi page 14 kama jibu lipo samahani ila ninaomba uniambie yafuatayo:-
Huyu babu alipokumbwa na hii ajali alikuwa kama abiria au aligongwa akiwa anatembea.., Mkuu kama haitakuwa tatizo naomba kama unaweza ukatoa step by step ajali ilivyotokea
 
Mmhh.! Aisee kwa hiyo ukiichana tu Ccm .?! Muhimbili hawakumpa huduma kwa makusudi au?! Looks like a realistic drama.'
 
uwiiiiiiiiiiiii, jamani mzee wetu kadedi, lakini aliyoyasema yametimia baada ya kutoka rost ya hamu sasa ccm kwisha, si unaona, mafuta, umeme, uda, wazee wa unga ambao ni wafadhili jk ataki kuwataja kweupe, unawezaukamkuta mbunge mama keupe
 
Faiza foxy atuambie kifo cha ghafla cha Ipiana John Samwel Malecela, mara tu baada ya kushinda nafasi ya uenyekiti wa uvccm mkoa wa DSM. Huku baba yake akiwa ktk mapambano makali na wana mtandao wa JK.
 
Duh.. vyanzo vyangu mbadala vya habari vinadokeza kuwa yule Mzee aliyezungumza kwenye ITV kwa uchungu mkubwa na kutaka CCM ife kabla yake na kushangiliwa sana amegongwa na gari na pamoja na jitihada za kumuokoa amefariki dunia usiku huu saa saba. Nimeweza kuzungumza na vyanzo vya karibu vya familia na vimethibitisha habari hii.

Ajali ilitokea juzi (Alhamisi) maeneo ya Ubungo (sina uhakika) na gari lililohusika na ajali hiyo linadaiwa kukamatwa lakini bado taarifa hizi za gari na dereva wake sijawa na uhakika nazo sana. Ila ni kweli mzee Mahimbo amefariki dunia. Tarehe 30 Julai, mzee huyo alizungumza kwa ukali sana na kuonekana kwa namna fulani "kukashfu" serikali na hasa alipodai kuwa yeye hatokufa hadi CCM ife. Siku mbili baadaye amekutwa na ajali ambayo imechukua maisha yake.

Nina details nyingine ambazo kwa wakati huu naziweka pembeni kwa makusudi - mwenye uwezo wa kujumlisha anaweza kuhisi.

UPDATED 1:Mwili wa Marehemu umeondolewa toka hospitali ya Muhimbili na kupelekwa hospitali ya Jeshi la Lugalo ili kufanyiwa uchunguzi. Kwa mujibu wa chanzo changu toka ndani ya ofisi za hospitali hiyo "inavoonekana kuna kamchezo kidogo kwn pale muhimbili hakupatiwa huduma yoyote si drip wala panadol"

UPDATED 2: Mazishi yanatarajiwa kuwa Jumatatu hii.

UPDATED 3:
Inadaiwa kuwa Polisi wamefanikiwa kulipata gari lililohusika na ajali hii japo mmiliki wake hajulikani na dereva hajajitokeza bado (isia zangu ni kuwa - reasonably - litakuwa gari la wizi. Nasubiri kusahihiswa hisia izo.
sawa kamanda mwanakijiji mazishi wapi?
 
Wanarudisha ule mchezo. Ukisema kitu kibaya dhidi ya Chama/Serikali unagongwa na gari yaani wana Kukolimba!:angry:​
 
Chacha wangwe aliuawa na chama cha Mafisadi..

Nasikia alikuwa anahoji matumizi ya chama cha mafisadi hasa ruzuku kuishia makao makuu na ofisi za pembezoni kuwa hoi, wakaamua kuondoa mzizi wa fitina kwa kumtumia kijana ambaye kwa sasa ni mfanyakazi pale makao makuu ya chama Kinondoni.
 
Mkuu Mwanakijiji sijui kama jibu lipo humu katikati katika hizi page 14 kama jibu lipo samahani ila ninaomba uniambie yafuatayo:-
Huyu babu alipokumbwa na hii ajali alikuwa kama abiria au aligongwa akiwa anatembea.., Mkuu kama haitakuwa tatizo naomba kama unaweza ukatoa step by step ajali ilivyotokea

Inadaiwa alikuwa anatembea... alikuwa anatoka kwenye mkutano nadhani wa kidini/kikao cha wachungaji..
 
Back
Top Bottom