Babu akiri kubebwa na refa dhidi ya QPR

Nov 11, 2010
76
54
red card plus penati dhidi QPR babu amekiri ashley young alikuwa offside.HIvi ingekuwa bongo refa angekuwa anatoka kweli?
 
jipange usiwe unakurupuka tu. Babu wa loliondo au babu wa bagamoyo??
 
red card plus penati dhidi QPR babu amekiri ashley young alikuwa offside.HIvi ingekuwa bongo refa angekuwa anatoka kweli?

Kwa kweli si fair kabisa - gem na Fulham lefa kawapa ushindi, jana na QPR ni aibu kabisa A. Young yuko off side ya nearly 1 meter isitoshe aka dive dah..... Mancs wanabebwa sana; no wonder Rooney ndo anaongoza kwa kufunga penati nyingi msimu huu
 
Man Utd wakishinda watu hawaishiwi sababu! Ooh mara wamebebwa, ooh mara sijui refa ni wao!! Man utd, wako strategically na wanaijua ligi ya uingereza!!
 
jipange usiwe unakurupuka tu. Babu wa loliondo au babu wa bagamoyo??

Basi hata picha nayo usielewe, nji kwamba Young alikuwa offside refa akapeta incident iliyopelekea a dive akapewa penati

offside.jpg

Baada ya refa kujitia kipofu - jamaa na dive akapewa penat na huyu akapewa red card - qpr wakabaki 10 uwanjani kwa ungese wa refa

diver.jpg
 
In the past two seasons Ashley Young has won more penalties than any other player in the Premier League.
[h=3]PENALTIES WON SINCE 2010-11[/h]7 - Ashley Young

5 - Luis Suarez

3 - Cesc Fabregas

3 - Peter Odemwingie

3 - Adam Johnson

3 - Jerome Thomas

3 - Aaron Lennon

3 - Theo Walcott

3 - Jonathan Walters

3 - Victor Moses

Na timu gani inaongoza kwa kupewa pernati nyumbani mkuu,ebu google afu utuletee majibu hapa.Man U ndo machampions bana.
 
Man Utd wakishinda watu hawaishiwi sababu! Ooh mara wamebebwa, ooh mara sijui refa ni wao!! Man utd, wako strategically na wanaijua ligi ya uingereza!!

Hem soma maandiko ya jamaa.....Haya c maneno ya jamaa mwanzisha mada....Ni maneno ya Fergason mwenyewe....Unaposema "watu hawaishiwi sababu" uanipa wasiwasi kwamba your are not controlling your thoughts. Halaf remember Leadership and success begin by controlling your thoughts.
 
Man C nae kapigwa huko ubingwa tutatangaza mapemaaaaaaaa.....
Wakati wengine wanashinda makombe wengine wanagombea 'kombe la mfungaji bora!'
 
Di Mateo vp na yeye hajakubali?bora man u alikua young peke yake bt chelsea walikua wachezaji wanne.au ndio roho znawauma?mtakonda sna tu.
 
Glory....glory...Manchester United.Makosa ya waamuzi hayajaanza kutokea kwenye hii mechi na wala hii sio mara ya mwisho.Kinachohitajika ni mashirikisho ya kimataifa na kitaifa ya soka kupika waamuzi wenye uwezo mzuri ya kusimamia mechi bila kuwa na makosa mengi yasiyo ya kawaida kimchezo.Tunataka kuona wakina P.Colina na K.M.Nielsen wapya ili soka livutie zaidi.
 
Di Mateo vp na yeye hajakubali?bora man u alikua young peke yake bt chelsea walikua wachezaji wanne.au ndio roho znawauma?mtakonda sna tu.

kuna siku arsenal walipewa penati mbili zenye utata lkn watu wakakaa kimya,juzi chelsea nayo watu wanne offside hamna aliyezungumza! sasa hayo ya jana naona wameshindwa kuvumilia.ama kweli kufa afe mnyamwezi, akifa mchaga mapenzi ya Mungu!
 
Back
Top Bottom