Babu achezea masaburi ya waendesha bodaboda

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
Ma bar maid kazi kwelikweli. Chumba changu dirisha langu linapakana na chumba chao. Wakirudi usiku huwa nasikia "pwa pwa pwa, fyuuuu, mbwiiii, bwiii, psiii, fyumu, buuu, ndiii kama hii haitoshi nasikiaga pia nyauu. Wenye bar waongezeeni mshahara hawa ndugu zetu wanachoka sana.
 
Mbona hakuna uhusiano kati ya kichwa cha habari na habari yenyewe? au ndo ulikuwa unataka kupost wakati unaendesha bodaboda zen babu akatokea nini?
 
Ma bar maid kazi kwelikweli. Chumba changu dirisha langu linapakana na chumba chao. Wakirudi usiku huwa nasikia "pwa pwa pwa, fyuuuu, mbwiiii, bwiii, psiii, fyumu, buuu, ndiii kama hii haitoshi nasikiaga pia nyauu. Wenye bar waongezeeni mshahara hawa ndugu zetu wanachoka sana.

Pombe zikikuisha rudi hapa usome title na ulicho post.
 
Back
Top Bottom