Babie!

Code:
Kwani umelazimishiwa....kama hutaki mwambie mwenzako asikuite hivyo!

La ajabu ni kuwa akipachikwa hayo majina udende humdondoka lakini akija humu jamvini aanza kusagia....lol.................

Nini udenda hadi kulia tena kwa machozi na kudhubutu kuwatukania wazazi kisa utamu, JF raha jamani!!
 
Kwani umelazimishiwa....kama hutaki mwambie mwenzako asikuite hivyo!

Hahahahahah lol! usiniite honey!...mie sipendwi kuitwa hivyo kwani mie asali!? hahahahah...uso unamshuka mtoto wa watu!
 
lugha ya kimahaba hio,hatuendeshani kijeshi lol,inaelekea unatokea kule tarime kule nasikia hawarembi.....:biggrin1:
 
Tunadanganyana,
navojua baby ni mtoto mdogo tena asieweza hata kuongea, sasa inakuaje leo watu wazima tunadanganyana kwa kuitana majina ya ajabuajabu? Mfano sweet/tamu, kwani kuna mchungu au mchachu?
Mamy/mama, kwani umenizaa?
Honey/asali, kwani mi nimetengenezwa na asali?

Jamani situitane tu majina yetu? Hivi ukiniita Mujuni ndo nitaona kuwa hunipendi? Au ndo stimu hazitakuja? Kwa nini tunadanganyana wakati asilimia kubwa hata hawamaanishi wanachokisema?


Please, may I submit this thread?


dah, sikumbuki mara ya mwisho kuitwa honey ilikuwa lini tu...............................
 
Mapenzi siyo science kusema yana formula,
Ni Sanaa inayohitaji ubunifu wa maneno na vitendo
Ni hisia zinazompelekea mtu kuropoka maneno yenye kutaka kumjenga mwenzi wake kihisa pia,
Hayana mwongozo zaidi ya kunyumbua na kujinumbulisha kwa kila kinachoonekana Chafaa,
Walianza na kifo cha membe sasa kuna hadi style ya Mtaka cha uvunguni,
Ujio wa style zote ni ubunifu na ujuaji wa kila mmoja awapo shughulini.
Mapenzi Ni sanaa na msanni ni wewe na mwenzi wako,
Ubunifu ndio pekee utakao dumisha mapenzi
Hizo babie, honey sweet ndo zinadumisha maloveee dogo!!



baba ubaya huu ni utenzi au shairi?
 
hayo majina yanatumika wakati wa raha.wakati wa kuzozana au wakati wa shida hutayasikia.walevi wanayatumia sana.mimi napenda kutumia baby coz kwenye mapenzi wote ni watoto ndo maana hata mnalia bila kupigwa.
 
lugha ya kimahaba hio,hatuendeshani kijeshi lol,inaelekea unatokea kule tarime kule nasikia hawarembi.....:biggrin1:

kule kwanza kina mama ili wajitambue wanapendwa lazima wakung'utwe kwanza, babie, honey, darling, sweetie, lolipop nk utayakumbuka kweli?
 
ooohh my sweet heart sharo H
whats goin on here mmmhhh

still don't get it ..
I love calling you baibe
I love calling you darling
i love calling you pumpkin & pitches
mmmhh will be even sweeter if you allow me
to call you honey bunny..

so what are you saying sweet pie..:A S-rose:
hahahahhahahhaahh lol
 
ooohh my sweet heart sharo H
whats goin on here mmmhhh

still don't get it ..
I love calling you baibe
I love calling you darling
i love calling you pumpkin & pitches
mmmhh will be even sweeter if you allow me
to call you honey bunny..

so what are you saying sweet pie..:A S-rose:
hahahahhahahhaahh lol

waaaaaaoooooow!!!
Hutanisaliti darl?
 
Back
Top Bottom