Babati: Wanachama wa CCM 1,200 wahamia CHADEMA

Ndiyo wakuu ! Ile kauli kuwa mjinga akijitambua mwerevu upo matatani ime endelea kutimia. Jana wanachama 1200 wa ccm wamerudisha kadi na kujiunga na makamanda. Mkutano huo uliongozwa na Kamanda Tindu Lisu ktk mwendelezo wa Movement for change. Source : Taarifa ya habar ITV saa 2 usiku leo.

Chezea Lissu wewe?.
 
1,200 BABATI? Walikuwa wapi siku zote hizi hawa?
 
Back
Top Bottom