Elections 2010 Babati wamerogwa!

Kwa shida na umaskini uliokithiri mkoa wa Manyara na wilaya/maeneo za/ya pembezone mwa Arusha (ondoa Karatu) sikutegemea wangeupa ushindi SSM. Maeneo haya ikwemo Singida na Dodoma wanaongoza kwa makazi ya mbavu za mbwa na nyasi tangu before and after independence. Pipi kifua zinawadanganya in a short term, they are short sighted!!

Pamoja na hayo Chadema hakuna kulala, kampeni tuzianze mapema, tuandae wagombea 2015 mapema kabisa!!! Naamini 2015 ni tsunami kwa Chadema!! Urais, Wabunge na madiwani, achilia mbali viongozi wa mitaa/mashina tuwe nao wengi, hawa ni wahamasishaji wazuri sana.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom