Babati ina Mkuu wa Wilaya?

Wambugani

JF-Expert Member
Dec 8, 2007
1,757
276
Katika uteuzi wa Rais Jakaya Kikwete, Mkuu wa Wilaya Babati ni Dr. Ian Langiboli, lakini nikiangalia kwenye vyombo vya habari kuhusu matukio ya Wilaya Babati, huwa ninashindwa kuelewa kama Wilaya hiyo ina viongozi kama Mkuu wa Wilaya na Kamanda wa Polisi. Nimeona matukio kama:

1. Vurugu na mauaji kutokana na mgogoro wa ardhi Bonde la Kiru
2. Mauaji yaliyotokana uchemshaji wa gongo katika Kijiji cha Endamanang
3. Vurugu za ardhi katika Eneo la Hifadhi ya Wanyamapori Burunge
4. Ubadhirifu wa fedha katika Jumuiya ya Burunge na
5. Jana niliona katika luninga ubadhirifu wa fedha Kijiji cha Vilima Vitatu.

Inadhihirisha viongozi wa Wilaya ya Babati hawawajibiki ndio maana hali imekuwa hivi.

A stitch at a time saves nine!
 
waliosababisha haya wangewajibishwa nadhani na wao wangewajibika.
Viongozi wote wanaishi DSM yanayotokea Babata watayajuaje,walishasema hawafanyii kazi taarifa za vyombo vya habari kama magazeti,redio na tv
1.Meremeta
2.EPA
3.Dowans/Richmond
4.Rada
5.Deep Green.
viongozi wa Tanzania hawana falsafa ya kuwajibika.''Hawana cha kupoteza''
 
Anaitwa Ian Langiboi, before kuja babati alitokea chamwino dodoma
 
Back
Top Bottom