Baba kilaza

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
Dogo mmoja alikuwa anapIga story na BABA yake mara demu wake akatokeA!...dah! BABA mwenyewe mtata sana...dogo akaamua kutumia akili ya kuzaliwa ...maongez na dem wake yakawa ivi;
Dogo:Umekuja kuchukua kile kitabu cha speak english my father dsn't know?!
Dem:Ndio na kile cha where should i wait 4 u?
Dogo:Hicho hakipo labda kile cha wait me under the coconut tree!
Dem:Sawa ucsahau kile cha dont be late i gv u 5 minutes.
Dingi kusikia hivyo akampa mwanae elf 10 ili asome kwa bidii
 
Back
Top Bottom