Baba yetu huyu tumfanyeje ........anaendelea kutotoa

hatuamini, hebu tupe SOURCE au kama hamna sorce tutumie picha ya baba, mama mzazi na mtoto mpya

Bujibuji, wewe wataka ushahidi hata kwenye mambo yaliyo straight forward kama haya!!! In maana nikija siku moja kulalamika hapa kuwa mjukuu wangu ni kikojozi utaomba nipige picha ya godoro, kanga, nepi etc zilizolowana badala ya wewe kunipa msaaga wa jinsi ya kupambana na changamoto hii.
 
@arusha,baba mngoni,mama mchaggaAna watoto wengine wameolewa/wameoa wana watoto wapo darasa la tatu, baba bila aibu anaendelea kuzaa yaan maternity ward mdada mama unakuwa pamoja na mama yako tena wewe unaenda kwa ajili ya mtoto wa pili.Kuna siku nilimtania baba kidogo kuhusu kuendelea kwake kuzaa ezeeni akageuka mbogo tena akataka kunilaani.Tunataka tuongee na daktari awamalize uzazi wote baba na mama manake wanatuaibisha.

Dah, wana umri gani hao wazee
 
kidume cha mbegu,anatimiza maandiko enendeni dunian kote mkazaane na muijaze dunia,,,,,kikubwa awe na uwezo wa kuwatunza bhana
 
We Marytina how dare you kuanika faragha ya wazazi wako katika hadhara hii? ushindwe na ulegee!
Yaani baada ya wao kukupa wewe fursa ya kuliona jua unaona wengine hawastahili? Toka lini wewe Merytina ukajipa mamlaka ya kugawa riziki ya viumbe wenzio duniani humu? Alokwambia wadogo zako wataishia kukutegemea wewe ni nani? what if wazazi wako wanaishi hadi kwenye 90's na kushuhudia ndoa za hao wadogo zako utasema nini siku ya harusi yao? Orait suppose today you are in your 30's unadhani ukiwa bibi wa miaka 70 na wao wako kwenye 40's hawataweza kukusaidia?
umeniuzi,ungekuwa mwanangu leo sijui ningekufanya nini? eti baba yetu yetu anaendelea kutotoa,yaani wewe wazazi wako walikutotoa? maana ni hao hao,kawaombe razi wazazi wako tena haraka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom