The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,607
- 6,071
Mama yako akiamua asiendelee kushika mimba day and night si anaweza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikute huyu mzee anayezungumziwa hapa ndio wewe Bujibuji...:eyebrows:hatuamini, hebu tupe SOURCE au kama hamna sorce tutumie picha ya baba, mama mzazi na mtoto mpya
duh!!! nafikiri hata wewe huamini kama wewe ni bujibujihatuamini, hebu tupe SOURCE au kama hamna sorce tutumie picha ya baba, mama mzazi na mtoto mpya
@arusha,baba mngoni,mama mchagga
Ana watoto wengine wameolewa/wameoa wana watoto wapo darasa la tatu, baba bila aibu anaendelea kuzaa yaan maternity ward mdada mama unakuwa pamoja na mama yako tena wewe unaenda kwa ajili ya mtoto wa pili.
Kuna siku nilimtania baba kidogo kuhusu kuendelea kwake kuzaa ezeeni akageuka mbogo tena akataka kunilaani.Tunataka tuongee na daktari awamalize uzazi wote baba na mama manake wanatuaibisha.
vipi tukimwamuru mama afunge kizazi kimya kimya????Hii ngumu kwa kweli. Nilizani anatotoa na vicheche wa nje kumbe na mkewe? Hii ngumu. Sina la kusema jameni.
tatizo baba ataona watoto tunamdhalilisha na kumdharaulisha kwa mama na hapo ataanza vituko miaMama yako akiamua asiendelee kushika mimba day and night si anaweza?
SASA UNAKARIBIA KUFUNGUKA
nieleza nitakavyomwanza manake kuna siku nilimtania akawa mmbogo.
Ntamsababishia talaka uzeeni nilaanike
given that baba yetu ni cha-pombe kwa nini tusiombee msaada wa madaktari kuikata mirija yake ya mbegu za kiume (epidedyis)?
Mama alishakubali ila baba kazi ipo
kule nimepewa bango nikakimbia.
Ila hii nisaidiani tumfanyeje huyu baba/mama yetu????
given that baba yetu ni cha-pombe kwa nini tusiombee msaada wa madaktari kuikata mirija yake ya mbegu za kiume (epidedyis)?
Mama alishakubali ila baba kazi ipo