Baba yetu huyu tumfanyeje ........anaendelea kutotoa

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,284
7,141
@arusha,baba mngoni,mama mchaggaAna watoto wengine wameolewa/wameoa wana watoto wapo darasa la tatu, baba bila aibu anaendelea kuzaa yaan maternity ward mdada mama unakuwa pamoja na mama yako tena wewe unaenda kwa ajili ya mtoto wa pili.Kuna siku nilimtania baba kidogo kuhusu kuendelea kwake kuzaa ezeeni akageuka mbogo tena akataka kunilaani.Tunataka tuongee na daktari awamalize uzazi wote baba na mama manake wanatuaibisha.
 
Attachments

  • mama 1..jpg
    mama 1..jpg
    58.1 KB · Views: 80
Lakini si anaweza kuwatunza au hata mahitaji muhimu anashindwa kuwapa wanae?
 
Hatimae Martyna afunguka kuhusu uhalisia wa maisha ya babaake, amwanika hazarani mchana kweupeeee! .
Ooops! Dah! sorry martyna nilijisahau nikazani niko ile sredi ya gazeti la udaku la JF
kule nimepewa bango nikakimbia.
Ila hii nisaidiani tumfanyeje huyu baba/mama yetu????
 
Atawatunza na kuwasomesha for how long? Na unajua bodi ya mikopo ndo inamalizikia kukata kauli! Si kutwishana majukumu hapo?
Aisee, ongeeni na babu yenu!
Lakini si anaweza kuwatunza au hata mahitaji muhimu anashindwa kuwapa wanae?
 
Atawatunza na kuwasomesha for how long? Na unajua bodi ya mikopo ndo inamalizikia kukata kauli! Si kutwishana majukumu hapo?
Aisee, ongeeni na babu yenu!
SASA UNAKARIBIA KUFUNGUKA
nieleza nitakavyomwanza manake kuna siku nilimtania akawa mmbogo.
 
Kweli hii tabia sio nzuri, ndo baadae unakuta mtu umepata kazi na wadogo zake kama wa5 wanamtegemea yeye!!! Mi nafikiri pombe nayo inachangia sana...Cha kufanya mtafute rafiki ya baba yako then umuelezi yote hayo then yeye ndo ataenda kumwambia. Mi nadhani kumwambia wewe mwenyewe sio vizuri...anaweza kusema umemdharau.Pole sana ndugu
 
ongea na mama yako afunge kizazi mwe kwani baba yako yeye atajizuiaje sasa?
 
Kweli hii tabia sio nzuri, ndo baadae unakuta mtu umepata kazi na wadogo zake kama wa5 wanamtegemea yeye!!! Mi nafikiri pombe nayo inachangia sana...Cha kufanya mtafute rafiki ya baba yako then umuelezi yote hayo then yeye ndo ataenda kumwambia. Mi nadhani kumwambia wewe mwenyewe sio vizuri...anaweza kusema umemdharau.Pole sana ndugu
given that baba yetu ni cha-pombe kwa nini tusiombee msaada wa madaktari kuikata mirija yake ya mbegu za kiume (epidedyis)?
Mama alishakubali ila baba kazi ipo
 
Mama ana uwezo mkubwa kama akiweka dhamira ya kukataa kushika tena mimba nyingine siku zote mpokeaji anaweza kuamua kupokea zawadi ama kuikataa ongea na mama yako.
 
Mwombe mama muongee then mwambie how you feel about it and muulize kwann wafanye ivo baini nani anamsukumo zaidi kama ni mzee mwombe samahan then funguka! Akiwa mbishi chonga na doctor mbona wengi wanafungia kizaz idadi ikizidi
 
Mama ana uwezo mkubwa kama akiweka dhamira ya kukataa kushika tena mimba nyingine siku zote mpokeaji anaweza kuamua kupokea zawadi ama kuikataa ongea na mama yako.
Ntamsababishia talaka uzeeni nilaanike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom