Baba yangu alisababisha nilale na mjomba wangu, kamwe sitamsamehe

Vivian viva

Member
Jul 19, 2016
17
81
Habari zenu wa JF,

Nimeona leo nitoe siri yangu hapa ya muda mrefu ambayo imekuwa ikiniumiza sana pale tu ninapokumbuka, nakosa raha na amani inapotea.

Kwa ufupi kabisa, nilizaliwa mkoani Mara wilaya ya Musoma mjini maeneo ya Nyakato, mama yangu alibeba mimba yangu akiwa darasa sita hivyo hakumaliza shule. Ilibidi akae nyumbani mpaka pale alipojifungua, kwa wakati kulikuwa hakuna sheria kali kwa wanaowapatia wanafunzi mimba wakiwa shule. Na aliyempatia hiyo mimba naye alikuwa mwanafunzi mwenzake lkn alikuwa la saba yeye alimaliza shule. Baba yake mama ambaye ni babu yangu alikuwa na uwezo mkubwa hivyo hakushindwa kutulea mimi na mama.

Nikiwa na miaka 6 ndipo nilipokuja kumjua baba yangu wakati huo nae alikuwa amekuwa mtu mzima, alikuja akanisalimia akaondoka, kwao pia walikuwa vizuri kimaisha.

Nikiwa na miaka 9 naanza darasa la kwanza wakati huo tulikuwa tunaingia shule tukiwa na umri mkubwa tofauti na sasa. Mama aliolewa na mume mwingine na alikuwa ni askari jeshi, alifanikiwa kuzaa nae watoto wanne jumla kwenye familia yetu tukawa 5 wasichana tukiwa wawili na wavulana wakiwa 3. Tuliishi vizuri sana, na familia ilikuwa na furaha sana na hatimaye tulijenga nyumba nzuri sana mtaa wa Majita road hapo hapo musoma. Nakumbuka nikiwa darasa la sita babu yangu kizaa mama alifariki duniani na ndiye aliyekuwa tegemeo la familia ya kina mama. Pia wakati huohuo baba yangu wa kufikia walikorofishana na mama kupelekea mpaka wakaachana na alihamishwa kuja Dar es salaam Lugalo. Sisi tulibaki Musoma tukiendelea na maisha.

Kumbuka wakati wote huo baba yangu mzazi ajaonekana kwa kipindi kirefu. Kwa upande wangu si kuwa na shida na nilifika mahali nikamsahu kabisa. Mama alikuwa anajituma sana alikuwa ana hotel yake hapo hapo Musoma hivyo alivyoachana na baba yangu wa kufikia akutetereka kiuchumi. Nilisoma na Mungu alinijalia kichwani nilikuwa vizuri toka darasa la kwanza nilikuwa nashika nafasi ya kwanza nikishuka sana nafasi ya pili mpaka la saba. Baada ya kuhitimu la saba Mungu alinijalia nikafahulu vizuri na kuingia kidato cha kwanza.

Wakati nikiwa kidato cha pili baba alikuja kutoka Arusha maana alikuwa anakaa huko, alipokuja alinikuta naendelea na masomo yangu vizuri. Alifika mpaka nyumbani nakumbuka mama alipomuona alimfukuza, wakaja watu kusuluisha na wazee kwamba ampe nafasi ya kumuona mwanae mama alikataa. Akamwambia wakati huo alikuwa wapi? Basi siku moja niko shule maana nilipangiwa hapo hapo Musoma sekondari, alifahamu ninapo soma kaja kaulizia walimu akanipata, niliitwa darasani nilipotoka nikamuona lakini sikumjua vizuri maana ni siku nyigi sana. Akanambia ni baba yako kwani umenisahau? Nilikataa kuongea lakini alinisihi sana mwisho nilikubali kuongea nae wakati anaondoka akanipa laki moja za matumizi akaondoka. Nilipofika nyumbani nilimpa mama hiyo pesa alishangaa nimetoa wapi, nikamwelezea yote basi mama akapokea. Kesho baba akaja akaomba msamaha hapo mama akamwambia kikubwa nataka umsaidie mwanao basi. Basi baba akaondoka.

Nilipofika kidato cha tatu mama alianza kuugua sana, tukaanza kuzunguka mahospitali kila akipimwa hakuna ugonjwa, tukaenda Bugando ugonjwa haukuonekana, tukaenda Muhimbili pia ugonjwa akuonekana kumbuka mama ndiye tegemeo la familia pesa za matibabu zilitoka kwake mpaka ikafikia hatua tukafilisika hotel ikafungwa hali ikawa mbaya sana. Tukaanza kuishi kwa shida sana. Tukashauriwa twende kwa waganga tukazunguka, alikuwa anapata nafuu kidogo kisha ugonjwa unarudi tena. Nikaanza kumtafuta baba ili atusaidie kila nikiongea nae kwa njia simu anatoa ahadi tu mwisho nikakata tamaa. Kwa baba wa kufikia aliyoko Dar nae alikuwa kimya sana alisahau hata familia yake kabisa. Hivyo tulikata tamaa kabisa na mababa hawa. Tukaamua kuishi maisha yetu bila kutegemea wao tena.

Nilisoma kidato cha nne kwa shida sana, tukitoka shule mimi na wandogo zangu tunaenda kutafuta vibarua vya kufanya ili tupate kula. Mpaka nikamaliza form 4, baada ya matokeo kutoka nikawa nimefahuru vizuri nikapagiwa shule ya advance huko Wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro. Hapo ndipo ilikuja kesi ni wapi pa kupata pesa ya shule. Jamani umasikini mbaya sana, kama ujapitia mshukuru Mungu sana. Mama yangu wakati huo hali yake iliendelea kuimarika baada kwenda kwenye Maombi. Tuliangaika sana na mama lakini hatkufanikiwa kupata pesa ya kutosha.

Namshukuru Mungu kwa kipindi chote hicho sikuwahi kukutana na mume japo nilikuwa mzuri mtaani kwangu, walinisumbua mpaka waume za watu lakini hawakunipata. Lkn nilipata wazo nikasema baba yangu yuko Arusha na mm nimechaguliwa Mkoa wa Kilimanjaro ni mikoa iliyokaribu. Nilimpigia simu nikaongea nae nikamwambia nimefahalu lkn sina pesa akasema wakati unakuja shule pitia hapa Arusha nitakupa pesa za shule. Basi nikaona unafuu mkubwa, nikajianda maana muda ulikuwa ushafika. Arusha huko alikuwepo mjomba wangu tumbo moja na mama alikuwa askari wa FFU hapo Arusha lakini alikuwa na roho mbaya sana hawezi kumpa mtu msaada kirahisi. Nilimtaarifu pia kwamba nitakuja na nitafikia kwake alikubali.

Siku ya safari nilimtaarifu baba akasema sawa, nikamwambia nitafikia kwa Mjomba alafu ndio nakuja kwako kuchukua pesa za shule, tukakubaliana. Nilipofika Arusha majira ya saa 2 usiku mjomba alikuja akanipokea akanipeka kwake, mjomba alikuwa na mke na watoto wa 3, ila wakati nafika nilikuta mke wake ameenda kwao likizo, yupo mfanyakazi wa ndani na watoto, cha ajabu nilianza kutafuta baba kwenye simu akupatikana tena.

Nilikaa kwa mjomba siku 4 bila baba kupatikana kwenye simu sikuwa na pesa yoyote. Ikabidi nimwombe mjomba anisaidie angalau kidogo niende shule baba akipatikana akinipa nimrudishie mjomba alikataa katakata. Niliwaza sana sikujua ninzie wapi nilikata tamaa ya kusoma tena, ikabidi nimwombe mjomba nauli ya kurudia kwetu Musoma napo aligoma akasema subiri mpaka baba yako apatikane. Siku moja jioni katoka kazini akaniita chumbani kwake nilishutuka lakini akasema njoo nikupe pesa za shule, kweli nilipoingia ndani akanipa laki tatu, nikamshukuru sana sikuamini, nilipotaka kuondoka akanishika mkono akanitazama akanimbia naomba nilale na wewe usiku wa leo, niliogopa na kushituka sana, alifunga mlango akanitishia mwisho nilipoa akafanya anachotaka kufanya, aliniumiza sana maana sikuwahi kufanya kideto hicho. Baada ya kumaliza akanipa hizo pesa nikajianda kwenda shule kabla sijaenda akanifanya tena alinigeuza mke wake, sikumwambia mama yangu chochote maana angesikia yawezekana angekufa kabisa. Lakini yote hayo kwa sababu ya shida.

Nikafanikiwa kwenda shule, nilisoma vizuri na mjomba akawa anakuja hapo shuleni kuniletea pesa za matumizi siku za Jumapili nakunichukua kwenda gesti, maisha yangu yalikuwa hayo mpaka namaliza kidato cha sita, nikarudi nyumbani Musoma mama alifurahi sana aliposikia mjomba alinisomesha, lakini nilikuwa siri yangu. Mjomba alitaka nilirudi tena Arusha huku nikisubiri kwenda chuo kikuu. Nilikataa kabisa na mimi nilikuwa tayari nimetimiza malengo ya kishule sikuwa na hamu tena bali niliendelea kujutia dhambi niliyofanya.

Mungu alisadia nikapangiwa chuo cha Dar es salaam, nilipata mkopo hivyo ulinisaidia mpaka namaliza chuo, nikakutana na rafiki wa kiume mwanachuo mwenzangu, tulipohitimu tulifunga ndoa na sasa tuna watoto 2. Hii ni siri kubwa sijahawahi mwambia mume wangu. Baba aliposikia nimemaliza chuo akajitokeza, nilifukuza kwangu na kamwe sitaweza kumsamehe katika maisha yangu.
 
Habari zenu wa JF.
Nimeona leo nitoe siri yangu hapa ya muda mrefu ambayo imekuwa ikiniumiza sana pale tu ninapokumbuka, nakosa raha na amani inapotea.

Kwa ufupi kabisa, nilizaliwa mkoani Mara wilaya ya Musoma mjini maeneo ya Nyakato, Mama yangu alibeba miba yangu akiwa darasa sita hivyo akumaliza shule. Ilibidi akae nyumbani mpka pale alipojifungua, kwa wakati kulikuwa hakuna sheria Kali kwa wanaowapatia wanafunzi miba wakiwa shule. Na aliyempatia hiyo mimba nae alikuwa mwanafunz mwenzake lkn alikuwa la saba yeye alimaliza shule. Baba yake mama ambaye ni Babu yangu alikuwa na uwezo mkubwa hivyo akushindwa kutulea Mimi na mama. Nikiwa na miaka 6 ndipo nilipokuja kumjua baba yangu wakati huo nae alikuwa amekuwa mtu mzima, alikuja akanisalimia akaondoka, kwao pia walikuwa vizuri kimaisha.

Nikiwa na miaka 9 naanza darasa la kwanza wakati huo tulikuwa tunaingia shule tukiwa na umri mkubwa tofauti na sasa. Mama aliolewa na Mume mwingine na alikuwa ni askari jeshi, alifanikiwa kuzaa nae watoto wanne jumla kwenye familia yetu tukawa 5 wasichana tukiwa wawili na wavulana wakiwa 3. Tuliishi vizuri sana, na familia ilikuwa na furaha sana na atimaye tulijenga nyumba nzuri sana mtaa wa Majita road hapo hapo musoma. Nakumbuka nikiwa darasa la sita Babu yangu kizaa mama alifariki duniani na ndiye aliyekuwa tegemeo la familia ya kina mama. Pia wakati huohuo Baba yangu wa kufikia walikorofishana na Mama kupelekea mpaka wakaachana na alihamishwa kuja Dar es salaam Rugalo. Sisi tulibaki Musoma tukiendelea na maisha.

Kumbuka wakati wote huo baba yangu mzazi ajaonekana kwa kipindi kirefu. Kwa upande wangu si kuwa na shida na nilifika mahali nikamsahu kabisa. Mama alikuwa anajituma sana alikuwa ana hotel yake hapo hapo Musoma hivyo alivyoachana na Baba yangu wa kufikia akuteteleka kiuchumi. Nilisoma na Mungu alinijalia kichwani nilikuwa vizuri toka darasa la kwanza nilikuwa nashika nafasi ya kwanza nikishuka sana nafasi ya pili mpaka la saba. Baada ya kuhitim la saba Mungu alinijalia nikafahulu vizuri na kuingia kidato cha kwanza.

Wakati nikiwa kidato cha pili Baba alikuja kutoka Arusha maana alikuwa anakaa huko, alipokuja alinikuta naendelea na masomo yangu vizuri. Alifika mpaka nyumbani nakumbuka Mama alipomuona alifukuza, wakaja watu kusuruisha na wazee kwamba amepe nafasi ya kumuona mwanae mama alikataa. Akamwambia wakati huo alikuwa wapi? Basi siku moja Niko shule maana nilipangiwa hapo hapo Musoma sekondari, alifaham ninapo soma kaja kaulizia walimu akanipata, niliitwa darasan nilipotoka nikamuona lakin sikumjua vizuri maana ni siku nyigi san. Akanambia ni baba yako kwani umenisahau? Nilikataa kuongea lkn alinisihi sana mwisho nilikubali kuongea nae wakati anaondoka akanipa laki moja za matumizi akaondoka. Nilipofika nyumbani nilimpa mama hiyo pesa alishangaa nimetoa wapi, nikamwelezea yote basi mama akapokea. Kesho baba akaja akaomba msamaha hapo mama akamwambia kikubwa nataka umsaidia mwanao basi. Basi baba akaondoka.

Nilipofika kidato cha tatu mama alianza kuungua sana, tukaanza kuzunguka mahospitali kila akipimwa hakuna ugonjwa, tukaenda Bugando ugonjwa ukuonekana, tukaenda Muhimbili pia ugonjwa akuonekana kumbuka mama ndiye tegemeo la familia pesa za matibabu zilitoka kwake mpaka ikafikia hatua tukafilisika hotel ikafungwa hali ikawa mbaya sana. Tukaanza kuishi kwa shida sana. Tukashauriwa twende kwa waganga tukazunguka, alikuwa anapata nafuu kidogo kisha ugonjwa unarudi tena. Nikaanza kumtafuta Bab ili atusaidia kila nikiongea nae kwa njia sim anatoa ahadi tu mwisho nikakata tamaa. Kwa baba wa kufikia aliyoko Dar nae alikuwa kimya sana alisahau hata familia yake kabisa. Hivyo tulikata tamaa kabisa na mababa hawa. Tukaamua kuishi maisha yetu bila kutegemea wao tena.

Nilisoma kidato cha nne kwa shida sana, tukitoka shule mm na wandogo zangu tunaenda kutafuta vibarua vya kufanya ili tupate kula. Mpaka nikamaliza form4, baada ya matokeo kutoka nikawa nimefahuru vizuri nikapagiwa shule ya advance huko Wilaya ya Moshi Mkoan Kilimanjaro. Hapo ndipo ilikuja kesi ni wapi pa kupata pesa ya shule. Jamani umasikin mbaya sana, km ujapitia mshukuru Mungu sana. Mama yangu wakt huo hali yake iliendelea kuimalika baada kwenda kwenye Maombi. Tuliangaika sana na mama lkn utakufanikiwa kupata pesa ya kutosha.

Namshukuru Mungu kwa kipindi chote hicho sikuwah kukutana na mume japo nilikuwa mzuri mtaan kwangu, walinisumbua mpaka waume za watu lkn hawakunipata. Lkn nilipata wazo nikasema baba yangu yuko Arusha na mm nimechaguliwa Mkoa wa Kilimanjaro ni mikoa iliyokaribu. Nilimpigia sm nikaongea nae nikamwambia nimefahalu lkn sina pesa akasema wakati unakuja shule pitia hapa Arusha nitakupa pesa za shule. Basi nikaona unafuu mkubwa, nikajianda maana muda ulikuwa ushafika. Arusha huko alikuwepo Mjomba wangu tumbo moja na mama alikuwa askari wa FFU hapo Arusha lkn alikuwa na roho mbaya sana awezi kumpa mtu msaada kirahisi. Nilimtarifu pia kwamba nitakuja na nitafikia kwake alikubar.

Siku ya safari nilimtarif bab akasema sawa, nikamwambia nitafikia kwa Mjomba alafu ndio nakuja kwako kuchukua pesa za shule, tukakubaliana. Nilipofika Arusha majira ya saa 2 usiku Mjomba alikuja akanipokea akanipeka kwake, Mjomba alikuwa na mke na watoto wa 3, ila wakati nafika nilikuta mke wake ameenda kwao likizo, yupo mfanyakazi wa ndani na watoto, Cha ajabu nilianza kutafuta baba kwenye sim akupatikana tena. Nilikaa kwa Mjomba siku 4 bila baba kupatkan kwenye sim sikuwa na pesa yoyote. Ikabidi nimwombe Mjomba anisaidie angalau kidogo niende shule baba akipatikana akinipa nimrudishie Mjomba alikataa katakata. Niliwaza sana sikujua ninzie wapi nilikata tamaa ya kusoma tena, ikabidi nimwombe Mjomba nauli ya kurudia kwetu musoma napo aligoma akasema subiri mpaka baba yako apatikane. Siku moja jion katoka kazini akaniita chumbani kwake nilishutuka lkn akasema njoo nikupe pesa za shule, kweli nilipoingia ndani akanipa laki tatu, nikamshukur sana sikuamini, nilipotaka kuondoka akanishika mkono akanitazama aknimbia naomba nilale na wew usiku wa leo , niliogopa na kushituka sna, alifunga mlango akanitishia mwisho nilipoa akafanya anachotaka kufanya, aliniumiza sana maana sikuwah kufanya kideto hicho. Baada ya kumaliza akanipa hizo pesa nikajianda kwenda shule kabla sijaenda akanifanya tena alinigeuza mke wake, sikumwambia mama yangu chochote maana angesikia yawezekana angekufa kabisa. Lkn yote hayo kwa sababu ya shida.

Nikafanikiwa kwenda shule, nilisoma vizuri na Mjomba akawa anakuja hapo shulen kuniletea pesa za matumizi siku za jumapili nakunichukua kwenda gesti, maisha yangu y alikuwa hayo mpka namaliza kidato cha sita, nikarudi nyumbani Musoma mama alifurah sana aliposikia Mjomba alinisomesha, lkn nilikuwa siri yangu. Mjomba alitaka nilirudi tena Arusha huku nikisubiri kwenda chuo kikuu. Nilikataa kabisa na mm nilikuwa tayr nimetimize malengo ya kishule sikuwa na hamu tena Bali niliendelea kujutia dhambi niliyofanya.

Mungu alisadia nikapangiwa chuo cha Dar es salaam, nilipata mkop hivyo ulinisaidia mpka namaliza chuo, nikakutana na rafiki wa kiume mwanachuo mwenzangu, tulipoitimu tulifunga ndoa na sasa tuna watoto 2. Hii ni siri kubwa sijahawah mwambia mume wangu. Baba aliposikia nimemaliza chuo akajitokeza, nilifukuza kwangu na kamwe sitaweza kumsamehe katika maisha yangu.
daaah pole saana , huyo babaako ni mshenzi kupita maelezo
 
Back
Top Bottom