Baba Ya Kanumba

Mzee yupo shinyanga tilling his little plot of land,a place where he knows himself well, where he has peace,a place he has dignity , a place he can quietly mourn loss of a son far, far away from the hypocrisy of the citizen of polished capital.
 
Mandown ukifa wewe hakuna hata atakaye taka kujua chochote juu yako sababu hujafanya kitu cha pekee ktk jamii na public yote. pole!
 
Jana kupitia luninga ya TBC alisema amebariki mazishi yafanyike Dar baada ya kukubaliana na mama yake Kanumba alisema anasubiri usafiri kuja dar kama hakutumiwa usafiri na yeye labda hana kitu sasa mnategemea nini? Ila baba ni baba siku zotee.
 
Alitumiwa nauli !
 
Duh........hapa wakiwa home na mdingi wake....pa kawaida sana

babakanumba.webp
 
Back
Top Bottom